extraordinary cyb
Member
- Jun 30, 2025
- 80
- 88
Mbona tukigusanisha tunahisi utamu kama sio starehe😂😂
Kwhyo wewe hulali na mkeo 🤔
Mlete basi 😂😂
Kwhyo wewe hulali na mkeo 🤔
Mlete basi 😂😂
Rejea kwenye madaKwa wewe huwa "unamjua" mkeo siku tu ukiwa unataka mtoto otherwise mnalala vyumba tofauti? Umerudi kwenye mstari?
Life experience mattersuongoooo
Hapa tumepigwa na kitu kizito!! Binafsi naamini tendo la ndoa ni starehe inayopaswa kufurahiwa na wanandoa tu!Eti utelezi sio starehe. Haingii akilini kabisa, huu ndio uongo wa siku
Wasilisha mstari kama ulivyoDuu basi Ibrahim atakuwa alikuwa anafanya kwa siku mara saba ili apate mtoto, huyu sidhani kama hiyo principal ili apply kwake
Upo sahihiKibongo Bongo sex ni starehe namba moya
apo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana😂😂😂ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaaTena mi kipindi cha period nampaga babe wangu a swim kwenye red sea..!! 😜
Cha kufia na ashki nini na bwana ninaye na natamba naye..!! 😹😹😹
Kipaumbele ni?Ni kwa ajili ya kuongeza watu na starehe kwa pamoja
Tendo la ndoa ni starehe inayopaswa kufurahiwa na wanandoa tu! Halipaswi kufanywa na watu wasio ndani ya ndoa!Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
mkuu,,kamuone daktariLife experience matters
Soma na version nyingine za biblia kwa lugha nyingine utaelewa zaidiPale paulo kwa wkoritho,
Vitabu vya mithali
Na vingine vinaposema kunywa maji ya kisima chako mwenyewe ,usiende nje ya ndoa,
Wanaposema mpeane msinyimane,
Wanaposema usizini
Wanaposema mke ampe mume haki yake
Je wanamaanisha kuziana tuuu?
TUMIA AKILI VIZURI
Kama kwaajili ya kuzaa tu basi Mungu asingeliweka siku salama na siku za hatari,
Wala nyonyo miaka ya ukoloni zisingepata jina juu ya uzazi wa mpango,
Wala maandiko yasingesema habari hzi za kupeana bila kunyimana
😹😹😹 Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?apo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana😂😂😂ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaa
Hahahaha "mshindo" fuatilia ujue neno mshindo lilianza kuwa maarufu miaka ipi hasa kwa wanawakeapo kwenye period kaa mwenyewe mi siwezi peana😂😂😂ila huko kwingine ni humuu tuu,,ivi huyu anaongea niniii au hajui mshindo ni niniiiiiiii aaaarrrggghhh ananikwazaaaa
🤣🤣🤣🤣😹😹😹 Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?
Sa nifanyeje na mwili unatamani, nafsi inatamani..!! 🤣
hata zitoke kama punje ya ulezi mimi hapana,,😂😂nabaki na hamu zangu,,ila nikimaliza lazima nifidie dadeqiiiii😹😹😹 Ananiuiza kwani zinatoka nyingi?
Sa nifanyeje na mwili unatamani, nafsi inatamani..!! 🤣
basi turudi kwa neno la kizamani,,kileleniHahahaha "mshindo" fuatilia ujue neno mshindo lilianza kuwa maarufu miaka ipi hasa kwa wanawake