Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,561
- 7,223
Kuzaa alafu starehe piaKipaumbele ni?
Kuzaa alafu starehe piaKipaumbele ni?
---Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Hizo siku huwa ni ngapi kwa kawaida?I agree with you mkuu. Kwa nini wanawake wanapata hamu naturally siku za kushika mimba tu?! Siku nyingine hamu mpaka iwe initiated kwa kuguswa nk?? Lol
Asikuchanganye uyo ilo tendo uwa ni "starehe" watoto ni majaliwa tu.Eeeh siangalii pcha za ngono, situmii uzazi wa mpango nk..... lakini kuna muda mwili unahitaji jambo na si kwaajili ya mtoto,,hii inaitwaje kitaalamu....
AsanteeAsikuchanganye uyo ilo tendo uwa ni "starehe" watoto ni majaliwa tu.
Mie sijawa convinced bado, itakuwa hajapewa vizuri huyu
Wewe kwako ni kwa starehe au wewe bado bikra...Mie sijawa convinced bado, itakuwa hajapewa vizuri huyu
😀 😀 😀 😀 😀
Mie tyr touched 😝Wewe kwako ni kwa starehe au wewe bado bikra...
Huu utani sasa...Mie tyr touched 😝
Na bado🤣🤣🤣Sina usemi nna dipresheni
Unaweza jikuta chizi kiutani.Kuna tetesi usipofanya unakaribisha tezi dume kwa kasi
Touched, opened, pia experienced 🤸♀️🤸♀️🤸♀️Huu utani sasa...
Na kwa mwanamke jee, anakaribisha nini?Kuna tetesi usipofanya unakaribisha tezi dume kwa kasi
Na mwanamme anapata hamu siku gani?I agree with you mkuu. Kwa nini wanawake wanapata hamu naturally siku za kushika mimba tu?! Siku nyingine hamu mpaka iwe initiated kwa kuguswa nk?? Lol
Sijui wenye tetesi zaoNa kwa mwanamke jee, anakaribisha nini?
Toa muongozo kwa faida ya members...Touched, opened, pia experienced 🤸♀️🤸♀️🤸♀️