Tendo la ndoa sio kwa starehe

Tendo la ndoa sio kwa starehe

basi turudi kwa neno la kizamani,,kileleni
Mwanamke kufika kilele haikuwa maarufu na walipofika hawakujua ni nini. Zama hizi binti wa darasa la saba anajua kukojoa ni nini
 
Mwanamke kufika kilele haikuwa maarufu na walipofika hawakujua ni nini. Zama hizi binti wa darasa la saba anajua kukojoa ni nini
we we weeeeeeeeee ngoja nicheke kwanza hahaha 😂 😂 😂 😂 😂,,ati nini kwamba sie ni tofaut na wale
 
PICHA ZA NGONO ZIMEBADILI AKILI ZA WANADAMU KUONA TENDO HILO NI KWA AJILI YA STAREHE.
UZAZI WA MPANGO KWA NJIA ZA KIGENI.
SINEMA NA MOVIES ZA KIGENI.
UTANDAWAZI KWA UJUMLA WAKE HASA KATIKA MWINGILIANO WA MILA NA DESTURI.
MADHARA YAKE;
Kwaiyo tukae na nyege mpaka siku tukihitaji watoto
 
Back
Top Bottom