Tendo la ndoa sio kwa starehe

Tendo la ndoa sio kwa starehe

Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.

2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.

Sababu ya mabadiliko;

  • Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
  • Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
  • Sinema na movies za kigeni.
  • Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
  • Madhara yake;
1: idadi ndogo watoto katika familia.

2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.

3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.

4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.

Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Braza huo upuuzi umeusomea wapi umesoma habari za kahaba Rehab kwenye biblia vip kuhusu suleimani alikuwa anaangalia porn au sio usiniambie alikuwa anawajua wakina pamela rios na mia khalifa
 
Braza huo upuuzi umeusomea wapi umesoma habari za kahaba Rehab kwenye biblia vip kuhusu suleimani alikuwa anaangalia porn au sio usiniambie alikuwa anawajua wakina pamela rios na mia khalifa
Laana ya baba yake Daudi
Umeshasema kahaba Rahabu
 
Kwa ufupi raha ya tendo la ndoa lisilinganishwe na matendo mengine wala vitu vingine tuache hile raha iwe raha tusibadilishe maana kwa mitazamo isiyo na mantiki
 
Bwanaaaa uliyeeeee waiiiita waaaaatakatifuuuu wakooooo,,waaaaweee mitumeee wachuuunga waaaaliiisheeee kundi laaaakoooo.....to be continued
Na wanyongeeeeeeee wakawa mashujaaaaaaa
 
Kivipi mkuu
Kutomba raha asikwambie mtu ndio maana Adamu alimtomba Eva au Hawa mpaka MUNGU akaona wivu akawatimua Bustanini, sasa sijaelewa MUNGU alitaka amtombe yeye Eva au? Najaribu kuwaza kwa sauti tu usinishangae sana
 
Back
Top Bottom