Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua.
Iko hivi:
Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto mmoja.
Tatizo langu ni kuwa siku hizi huwa nachoka sana mara baada ya tendo na mgongo kuuma. Pia, kiwango cha shahawa kimepungua sana sio kama zamani.
Naweza minyana lakini nikaishia kukojoa kitone tu, kwa hivyo hali hiyo wakati mwingine inapelekea akili inakuwa inataka kuzagamua lakini mwili hautaki.
Soma Pia: