N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!