Teknolojia gani hutumika kupiga picha za dunia 'Google Satellite Picture'

Ni swali zuri sana pia linahitaji majibu ya kitaalam zaidi.
Kwanza kabisa kabla ya kukujibu swali lako pia inakubidi uwe na uelewa juu ya namna kamera za kawaida zinavyoweza kudaka images zilizo mbali, kitendo chochote cha kunasa taarifa juu kitu (object) bila kukigusa kitaalam hujulikana kama Remote sensing, na hii ndio teknolojia itumikayo kwenye picha za satellites ikiwemo Google images.

JE, NI KWA NAMNA GANI?
>satellites ni mitambo iliyoangikwa anga za juu katika angahewa ( atmosphere) na nje ( outer space,) mitambo hii hurushwa kwa kutumia maroketi ambayo huziacha satellites kwenye umbali uliokusudiwa na hapo zinakuwa na uwezo wa kuizunguka dunia kulingana na speed yake na kazi yake pia,

Tukumbuke kuwa katika unasaji wa images ( remote sensing) nishati ya mwanga ( light) huhitajika. Hapa satellite zimegawanyika katika aina kuu mbili:-
1.passive satellites, hizi ni satellite ambazo hutegemea mwanga wa asili ( kutoka jua) ili zinase images, hivyo hufanya kazi mda jua linapoangaza tu.
2. Active satellites, hizi hazitegemei mwanga wa asili bali zina uwezo wa kunasa images hata wakati wa Giza kwani zina mwanga wake wa mfumo wa mionzi ( radiation beam), na hii ndio hasa aina ya satellite ichukuayo picha hata wakati wa Giza.

Vitu vyote vina kiwango fulani cha kuakisi nishati ya mwanga ( level of reflection), pindi nishati ya mwanga inapofikia kitu ( object) huwa iko kwenye mfumo wa electromagnetic energy ambayo husafiri kama umeme -sumaku kutoka kwenye chanzo ( yaani jua au satellite yenyewe ( ref active satellites)), baada tu ya nishati hiyo kufikia object husika, nishati hii ya mwanga huakisiwa ( get reflected by the object) kulingana na uwezo wa kuakisi ( albedo) na huenda moja kwa moja kwenye kifaa cha kurekodi taarifa yaani sensor/satellite, nishati hii hupita kwenye space na inarekodiwa kulingana na wingi/ nguvu ya nishati hiyo.

Satellites zina mfumo wa kufanya reception, recording, analysis, and data interpretation, na pia ieleweke kuwa matendo tajwa hapo juu hufanyika kwa kutumia "digital numbers" (DNs) ambazo hutegwa kwenye spectrum ili kunasa rangi na kutambua images zilizopigwa na satellite husika, hapa sasa unagusia mambo ya wavelength ( urefu wa masafa ya nishati ya mwanga katika spectrum)
Interpretation ya images ( data) hufanywa kwa njia kuu mbili:-
1. Vector data interpretation ( VDI), hii hutumia point mbili kutambulisha image kwa njia ya majira ya nukta mfano Mwanza hotel inaweza kutambulishwa kama 2,3 using two dimensions of X, Y.
2. Raster data interpretation (RDI), hii hutumia majina na point ya eneo husika, mfano satellite inaweza kuonyesha cells za maeneo kwa kutumia point fulani, mf, Morogoro hotel inaweza kuonyeshwa nukta na jina ( •A, morogoro Hotel) kulingana na representation ya hizo point kwenye satellite imaging system.

Hapo ndipo unapoweza kushangaa kwanini ukitumia Google earth unaona hadi mazingira ya kwenu, this is how the remote sensing technology works.

Saguda 47, Geography and Philosophy.
 
kaka umetisha,nimejifunza kitu
 
Pamoja sana bro jibu linaleta mwanga angalau
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom