Teknolojia gani hutumika kupiga picha za dunia 'Google Satellite Picture'

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
 
Picha zote hupigwa kwa satellite zilizopo angani.
Satellite hizohizo huwa zina kazi nyingi, mfano ni kuchukua picha za maeneo, kuonesha location ulipo, hutunza kumbukumbu kama za internet na nyinginezo pamoja na kusaidia usafirishaji wa mawimbi hususani ya televisheni na simu.
 
Mkuu umenichekesha sana.
Sina majibu in details but hizo ni picha za satelite.. Mfano angalia Avatar yangu.. Hii ni picha latest ya sayari yetu ya Dunia iliyopigwa kutokea mwezini...
 
Hio imepigwa tarehe ngapi ndugu?
 
Say ina kama miezi nane.. Kwa mbali utaona bara la Afrika na Jangwa la Sahara kaskazini mwa Africa linaonekana vyema...

Siyo kila picha unayoiona imepigwa live kwa sattelite devices.. Kuna teknolojia inaitwa CGI ( computer generated images) wewe unaweza kuchukuliwa na kuwekwa kwenye kifaa maalum mfano wa chumba kidogo na kifaa hicho kita scan mwili wako wote na kurekodi patterns zako ( unavyocheka, unavyotabasam , unavyo tafakari) yani hapo inachukua matendo yako yote ya kimwili na ishara zote... Baada ya hapo hicho kifaa kinaweza Ku generate picha yako (animation/catoon) inayofanana na wewe kwa 99% na wanaweza kuitumia kutengeneza movie/interview au chochote kile... Kwa mfano wewe unaweza kuwa upo Arusha unafuga ngombe lakini wao wakaitumia ile picha yako kutengeneza interview /video itakayoonyesha sura yako na uhalisia wako kwa 99% . it resemble like human clone.
 
Thanks mkuu.
 
Mkuu umenichekesha sana.
Sina majibu in details but hizo ni picha za satelite.. Mfano angalia Avatar yangu.. Hii ni picha latest ya sayari yetu ya Dunia iliyopigwa kutokea mwezini...
Satellite iko mbali sana huko juu angani,sasa inawezaje kupiga picha ya jengo na hiyo picha inatoka clear kana kwamba ni mtu amesimama mita kadhaa na kupiga hiyo picha??
 
Siyo kila picha unayoiona imepigwa live kwa sattelite devices.. Kuna teknolojia inaitwa CGI ( computer generated images) wewe unaweza kuchukuliwa na kuwekwa kwenye kifaa maalum mfano wa chumba kidogo na kifaa hicho kita scan mwili wako wote na kurekodi patterns zako ( unavyocheka, unavyotabasam , unavyo tafakari) yani hapo inachukua matendo yako yote ya kimwili na ishara zote... Baada ya hapo hicho kifaa kinaweza Ku generate picha yako (animation/catoon) inayofanana na wewe kwa 99% na wanaweza kuitumia kutengeneza movie/interview au chochote kile... Kwa mfano wewe unaweza kuwa upo Arusha unafuga ngombe lakini wao wakaitumia ile picha yako kutengeneza interview /video itakayoonyesha sura yako na uhalisia wako kwa 99% . it resemble like human clone.

Nadhani mwulizaji anazungumzia images za dunia za Google earth. Hizi zinaonyesha milima, mabonde, mito, mitaa, n.k. zikiwa zimepigwa kutoka juu. Hizi zinakuwa zimepigwa kwa satellite kutumia technology ambayo imetokana na mambo ya vita.
 
Mkuu umenichekesha sana.
Sina majibu in details but hizo ni picha za satelite.. Mfano angalia Avatar yangu.. Hii ni picha latest ya sayari yetu ya Dunia iliyopigwa kutokea mwezini...
Mkuu umenichekesha sana.
Sina majibu in details but hizo ni picha za satelite.. Mfano angalia Avatar yangu.. Hii ni picha latest ya sayari yetu ya Dunia iliyopigwa kutokea mwezini...

Hiyo picha haijapigwa mwezini wala nini,,,,,,,,,
 
Siyo kila picha unayoiona imepigwa live kwa sattelite devices.. Kuna teknolojia inaitwa CGI ( computer generated images) wewe unaweza kuchukuliwa na kuwekwa kwenye kifaa maalum mfano wa chumba kidogo na kifaa hicho kita scan mwili wako wote na kurekodi patterns zako ( unavyocheka, unavyotabasam , unavyo tafakari) yani hapo inachukua matendo yako yote ya kimwili na ishara zote... Baada ya hapo hicho kifaa kinaweza Ku generate picha yako (animation/catoon) inayofanana na wewe kwa 99% na wanaweza kuitumia kutengeneza movie/interview au chochote kile... Kwa mfano wewe unaweza kuwa upo Arusha unafuga ngombe lakini wao wakaitumia ile picha yako kutengeneza interview /video itakayoonyesha sura yako na uhalisia wako kwa 99% . it resemble like human clone.

Siyo jibu la swali. Hiki ni kitu kingine kabisa. Mtu kauliza jinsi gani picha zinapigwa. Hajauliza generated images
 
Hiyo picha haijapigwa mwezini wala nini,,,,,,,,,
Jambo la kwanza la kujua zile sio real time pictures ni pichs zinazokuwa zimepigwa muda flani ndiyo maana unaweza angalia mfano hotel flani kwenye google map ukaikosa kumbe wakati zinatengenezwa haikiwepo, ila uwa wana ziupdate from time to time.
Jambo lingine zinapigwa kwa satelites, magari yaliyofungwa camera yanayoendeshwa kupita miji kadhaa, na nyingine ni computer generated.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom