Teknolojia gani hutumika kupiga picha za dunia 'Google Satellite Picture'


shatisuruali

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
550
Points
1,000
shatisuruali

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2016
550 1,000
kwa kuongezea tu kama wadau hapo juu walivyo jaribu kufunguka... Picha hizi unazoziona katika google map hazitoki kwa google wenyewe. Kuna satellite za aina nyingi sana mfano za hali ya hewa (weather satellite) hizi hutumika kwa ajili ya kutabiri na kuonesha hali ya hewa dunia nzima. Kuna zile zinazomilikiwa na jeshi hasa la marekani na mataifa makubwa (millitary satellite) ambazo zipo special kwa ajili ya mambo mengi sana hasa mawasiliano na kupiga picha huku duniani hasa za upelelezi na ulinzi. Picha za dunia hupigwa na satellite za jeshi, hawa huwa wanaamua kipi kifutwe kipi kiachwe katika ramani, mfano kuna sehemu za siri kama makambi ya jeshi, meli zao baharini, silaha za kivita, sehemu za majaribio ya makombora. Wakisha chuja na kutoa kila kitu ambacho raia wa kawaida haruhusiwi kuona ndo huwa wanawauzia makumpuni ya ramani kama google, bing na kadhalika. Ndo maana kuna baadhi ya sehemu nyeti huwezi kuziona google map na inachukua muda kupiga picha, kuziprocess na kuziachilia kwenye public. Hope nimeongeza kitu.
 
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
2,300
Points
2,000
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
2,300 2,000
Hio satellite huwekwa umbali gani wa dunia na nani ni wamiliki na je zinakava umbali upi surface.
 
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,973
Points
2,000
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,973 2,000
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
mkuu unatokea sawala mufindi au tu majina yanafanana
 
shatisuruali

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
550
Points
1,000
shatisuruali

shatisuruali

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2016
550 1,000
Hio satellite huwekwa umbali gani wa dunia na nani ni wamiliki na je zinakava umbali upi surface.
Hukaa kwenye orbit (kuna orbit ya chini nadhani ni kilometer zisizopungua 5000 hii inazaidi ya satellite 500 za aina mbali mbali, kuna orbit ya katikati kilometer 20,000 hapa kunazaidi ya satellite 50 na orbit ya juu kilometer 36,000 kutoka duniani. Zina milikiwa na makampuni binafsi, serikali, taasisi kubwa za uchunguzi, na majeshi. Ziada ni kuwa angani kuna zaidi ya sattelite 2,000 za mawasiliano. na ukae ukijua sattelite kama vifaa vingine vya kielectronic hufa na hukaa zikizagaa tu angani.
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,787
Points
2,000
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,787 2,000
ila mkuu usisahau kuwa umbali ambao satellite ipo kutoka hapa duniani ni km 36,000!....Mimi napinga kuwa zile picha huwa zinapigwa kwa satellite unless uweka reference hapa!
Google Earth - How They Do It!
A look at how Google Earth puts together images from all over the world.

By James Lewis December 17, 2008
When you launch GoogleEarth on your computer, you start in outer space and you miraculously zoom in. You might see two unsuspecting guys walking across the Blue Wonder Bridge way off in Dresden, Germany.

But the folks at Google Earth remind us that you're not zooming in on just one picture. You're actually going through a succession - seamlessly - of closer and closer shots, making the transition from a NASA shuttle shot to a satellite shot to a photograph made from an airplane. So that's how they get such good close-up resolution.

Google doesn't shoot its own images. There are a handful of companies that do that. As you zoom in, down at the bottom of your screen you'll see names like AeroWest, DigitalGlobe, GeoContent, Cnes/Spot Image, NASA and Terra Metrics. Those are the various suppliers of images. But GoogleEarth has designed software that knits it all together so it feels like we're zooming in.

The primary source of GoogleEarth images is, DigitalGlobe. They told Pop Photo how the system works.

At the heart of it all is a satellite in a low orbit, going from one pole to the other. It's different from geostationary communications satellites because it's at 20,000 miles and always above the equator. You can't get a decent shot from that height. And the angle is limiting. For example, you'd always get a shot of the Statue of Liberty's front profile since she faces southeast. You'd never get a straight-down shot. The only alternative is to use a camera inside a satellite that's swooping from pole to pole at a much lower altitude, typically about 300 miles.

Chuck Herring at DigitalGlobe says they have two satellites to choose from, with a third launching next year. But the one they use the most, named QuickBird, makes a polar orbit every 90 minutes.

Google Earth - How They Do It!
 
Cicadulina

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Messages
572
Points
1,000
Cicadulina

Cicadulina

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2015
572 1,000
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
kuna picha za aina mbili, moja ni zile zinazochukuliwa na setelite na mbili zile zinazoonyesha mitaa ambazo huchukuliwa na magali maalumu yaliyofungwa kamera (angalia picha hapo chini).hizi zinazoonyesha mitaa zipo hasa dunia ya kwanza hapa kwetu hakuna

 

Attachments:

Indian

Indian

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
824
Points
1,000
Age
38
Indian

Indian

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
824 1,000
bbc-swahili-habari-ajali-ya-meli-zanzibar_-mamia-wafariki-jpg.442869


Hii ni picha iliyopigwa na satilite baada ya meli kuzama, wao waliona haya tangu mwanzo.
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,604
Points
2,000
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,604 2,000
Satellite iko mbali sana huko juu angani,sasa inawezaje kupiga picha ya jengo na hiyo picha inatoka clear kana kwamba ni mtu amesimama mita kadhaa na kupiga hiyo picha??
Umbali upi mkuu, yaani KM ngapi toka hapa chini
Changamoto:

Satelite huwa tunaziona zikitembea huko juu usiku kama nyota. Je zina ukubwa gani hadi tuzione? ile beam yake ina nguvu kiasi gani hadi kama ipo umbali wa let us say 1000 km mwanga wake tuuone?
 
mgesa

mgesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,004
Points
2,000
mgesa

mgesa

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,004 2,000
Ushasema google satellite pictures. Setellites ndo zinapiga hizo picha
 
tumsifukisiki

tumsifukisiki

Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
39
Points
125
Age
27
tumsifukisiki

tumsifukisiki

Member
Joined Dec 1, 2016
39 125
ebu uliza maswali ya maana hayo mambo ya wazungu yanakusàidia nn
 
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
509
Points
250
G 6

G 6

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
509 250
Siyo kila picha unayoiona imepigwa live kwa sattelite devices.. Kuna teknolojia inaitwa CGI ( computer generated images) wewe unaweza kuchukuliwa na kuwekwa kwenye kifaa maalum mfano wa chumba kidogo na kifaa hicho kita scan mwili wako wote na kurekodi patterns zako ( unavyocheka, unavyotabasam , unavyo tafakari) yani hapo inachukua matendo yako yote ya kimwili na ishara zote... Baada ya hapo hicho kifaa kinaweza Ku generate picha yako (animation/catoon) inayofanana na wewe kwa 99% na wanaweza kuitumia kutengeneza movie/interview au chochote kile... Kwa mfano wewe unaweza kuwa upo Arusha unafuga ngombe lakini wao wakaitumia ile picha yako kutengeneza interview /video itakayoonyesha sura yako na uhalisia wako kwa 99% . it resemble like human clone.
Mkuu hongera sana kwa kulijua hilo... Ila Animation na Picha halisi unaweza kuzitofautisha kiurahisi tu...
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,223
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,223 2,000
Umekimbia shule.sasa unakuja kutusumbua huku.
Hata angeenda shule asingeeza soma kila kozi!!! Hata magufuli ukimpa hili swali japo ana phd lazima litampiga za uso!
 
klins

klins

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2012
Messages
605
Points
250
klins

klins

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2012
605 250
Zipo za Satelite image... zipo za drones.... zipo za ndege pia.... ww tu cjui unataka picha ipi hati ya hizoo
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,932
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,932 2,000
Hata angeenda shule asingeeza soma kila kozi!!! Hata magufuli ukimpa hili swali japo ana phd lazima litampiga za uso!
Bhas atakuwa kilaza.haya mambo.ni tangu shule ya msingi.maarifa ya jamii.mpaka secondary geography. N
K
 

Forum statistics

Threads 1,284,235
Members 494,015
Posts 30,818,099
Top