Teknolojia gani hutumika kupiga picha za dunia 'Google Satellite Picture'

Sijakosa cha kujibu.Bali naona ni upuuzi ameambiwa ni satellite zilizofungwa camera.bhado anauliza mbona vitu vinaonekana karibu.anashindwa kujiongeza kuwa camera zina zoom.na wewe ulikimbia shule.umekuja kusapoti ujinga.rudi shuleee.
Mkuu, sio kwamba camera zina zoom hapana.
Camera au sensors/scanners zinapokea Electromagnetic Energy toka kitu "kinachopigwa" picha na kutumia miale hiyo kutafsiri kitu chenyewe.
Kwa kifupi ni kwamba miale ya jua hugonja vitu mbalimbali. Miale ambayo inakuwa reflected tioka vitu mbalimbali ndiyo husomwa au kupokelewa na Sensor/Scanner. Data za sensor/scanner husomwa kwa kutumia software maalum kuinisha vitu tofauti.
 
Uwa unaangalia mpira wa uingereza?kuna wakati kabla hajawaanza.uwa kunaonyeshwa picha kutoka angani.alafu inavuta mpaka unaona ramani ya eneo lile.alafu ndo wanaonesha uwanja.sijui unanielewa.ile picha uwa ina pigwa na satellite. Kamuulize vizuri mwalimu wako.
 
Mkuu, nahisi hatutaweza kuelewana kwa hili. Camera za mpirani zinatumia principle au mfumo tofauti na zile za satellite toka angani. Kuna kitu kinaitwa Remote Sensing. Soma kidogo ujue tofauti yake!
 
Daaa huyo aliyetoa mfano sijui mkulima anafungwa kifaa ni chenga kweli Jamaa anaamini zile filam za Hollywood,sasa ngoja na Mimi nifunguke- picha hizo huwa zinapigwa na GPS yaan Global Positioning System kwa support ya satellite zinazoelea huko angani na zipo nyingi za Mrusi,USA,China na wengine
 
Umbali upi mkuu, yaani KM ngapi toka hapa chini
Changamoto:

Satelite huwa tunaziona zikitembea huko juu usiku kama nyota. Je zina ukubwa gani hadi tuzione? ile beam yake ina nguvu kiasi gani hadi kama ipo umbali wa let us say 1000 km mwanga wake tuuone?
Zipo umbali wa kilomita 36,000 kutoka hapa duniani!
 
Attachments

  • 1480945325204.png
    1480945325204.png
    48.2 KB · Views: 32
Mkuu umenichekesha sana.
Sina majibu in details but hizo ni picha za satelite.. Mfano angalia Avatar yangu.. Hii ni picha latest ya sayari yetu ya Dunia iliyopigwa kutokea mwezini...
Nafahamu ni picha za satellite mkuu hapo swali linataka kufahamu kwa kina teknolojia inayopiga picha hizo,karibu kwa majibu.
 
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
.....ha ha ha Mkuu umenichekesha na umenikumbusha mbali
Kuna jamaa alikua anajiita wa stendi alishawahi kuhoji aliechora ramani ya Dunia alikua amesimama wapy

Uzi wako umenifanya nitabasam sijui yuko wapi siku hizi huyu jamaa Wa stendi.
 
Hizo picha zinapigwa na satelite,mfano hii hapa chini nimeitoa google map. Hapo magari yanaonekana na mpaka kituo cha mwendokasi kinaonekana.
20d8d9f4058073f63b03f377b40f0cdd.jpg
 
Mliosoma haya mambo mnaweza kutusaidia kujua zile picha za dunia tena zikiwa ni sharp images zinapigwaje na kifaa gani kinatumika kupiga? Maana hata kijijini kwetu huwa napaona kwa picha hizi.
Na je yale maeneo madogomadogo kama kijijini kwetu sawala wanayajuaje hawa wazungu.Msaada ili nijue,nimegugu nikatoka kapa!
mie zilo zilo haapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom