Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

DxYC.jpg
 
Ila hili tatizo la umeme wajuba kukaa kimya wanatuona sisi mazuzu ujue tutabaki kulalamika tu
Nyinyi watu mnasahau sana, ile bodi ya TANESCO haikuteuliwa kifala.

Tatizo linatengnezwa ili tupate sababu ya kutengeneza dili.

Tuko strategic kweli kweli zile safari za UAE sijui Saudia zitatupa jibu soon.

Usiponufaika na nafasi ya uongozi katika nchi hii ujue una element za ufala.
 
Focus yetu kubwa ni 2025, ndo maana tumetengeza timu mpya ya makatibu kwa ajili ya ushindi wa kimbunga.....
 
Kwanza matumizi mengi ya umeme majumbani ni anasa, maji hapo tegeta ukipiga jeramba bahari haiko mbali, utaogela unavyotaka....kuna kingine tena ? Serikali ipo bize inafungua uchumi haya mambo ya anasa yatafuatiliwa baadaye
 
Mimi mwenyewe nipo ubungo nasaka boza.. naomba namba zao?
Mkuu sikuwaza kuchukua namba yao, maana niliwadaka hapo njia panda ya mzee wa upako walikuwa wanapeleka maji kule mitaa ya Kanisa la Lusekelo.......kesho nitampa mtu task hiyo,tutapata tu namba
 
Back
Top Bottom