Watu wa Dar tutateseka sana na joto hadi mgao wa Tanesco uishe April 2024

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,000
17,909
Watu wa Dar tutateseka sana na joto hadi mgao wa Tanesco uishe April 2024

Hadi Aprili tujiandae kushuhudia vifo na matatizo mengi yasababishwayo na joto kali

Yaani hata kama AC nyumbani haisaidii kama kuna mgao wa umeme!! Maana muda wamekata na wewe unakuwa sawa tu na mtu asiye na AC

Kinachotuokoa wengine ni AC za kwenye magari tu lasivyo tungekua na hali mbaya sana

Ingekua nchi za wanaojitambua hili la umeme lingeingiza watu barabarani na kuleta regime change kwenye nchi lakini kiko wapi!!

Mpaka April ifike ya hiyo deadline yao ya kumalizia kuuza majenereta yalobaki stoo karibia elfu 10 tutakua tushaita maji mma!!
 
_20231207_140343.JPG
 
Back
Top Bottom