Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

Hivi wataalamu wa CCM wanasema jua limeahuka sentimita ngapi upande wa Tanzania?
 
Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
Najiuliza kwani kipindi cha mwendazake hakukua na kipindi cha kiangazi mbona mgao tulikua tumeshausahau
Sasa kwa style hii hiyo treni ya umeme
Itabidi wawe na majenereta yao lasiivyo watu watakwama njiani

Kazi iendelee, mama anupiga mwingi
 
Back
Top Bottom