jfour
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 242
- 222
..ni kwasababu bajeti yetu inategemea wafadhili.
..serikali inawasikiliza zaidi wafadhili wanachosema kuliko chombo/taasisi/mtu yeyote.
..sasa kwanini serikali yetu inategemea wafadhili?
..jibu ni miradi ya kifisadi na kihuni-huni kama IPTL, Richmond, Dowans, Symbion, PAP, na mingine mingi.
cc mapyululu
IPTL siyo mradi wa kihuni, kumbuka Richmond hata umeme hawakuwahi kuzarisha,hyo mitambo yenyewe tu ishu!! Symbioni price yao per unit ni kubwa sana ukilinganisha na IPTL. Dowans ndugu yangu Dah! 500MW zipo njiani zinaingia kwenye gridi ya Taifa kutoka IPTL/PAP.