nimesisimka mno kusoma hizi nyaraka ...khaaaa hii nchi jamani
kwanini sasa? kwanza umeelewa kweli kilichoandikwa humo?
Hivi mnasoma au mnaleta POROJO? kasome attachment ya 6, page number 4, kipengele number ii.
![]()
View attachment 189357
Hivi mnasoma au mnaleta POROJO? kasome attachment ya 6, page number 4, kipengele number ii.
![]()
View attachment 189357
Hivi huoni tofauti yako na wengine?
SASA KWA TARIFA YAKO NGOJA NIKANUNUE POPCORN NIKURIDI HAPA NAPANDISHA ARTICLE ZOTE HIZI KWA UFASAHAA NA KILA MTU AJISOMEEE.
Nimekupata Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni, pamoja na hayo bado mie naona hiyo ni arbitration process kila inpotokea kikwazo wakati wa utekelezaji wa mkataba. Swali langu liko pale plae; umeme Tanesco waliutumia na malipo yaliyowekwa Escrow a/c ni yale yale ambayo yangelipwa kwa mtoa huduma moja kwa moja.

Nimezisoma docs zote, mie naona ni nyaraka za mawasiliano ya kawaida kiofisi kuhusu hayo malipo.
Inabidi tupate mwanga zaidi katika huu 'ufisadi' najaribu kujiuliza maswali haya: Je, huo umeme Tanesco walitumia? na vipi kama malipo yangefanywa kila mwezi kama walivyolipwa wengine akina Symbion na Songas, hiyo pesa isingetumika?
Mbona hamjiulizi kwanini pesa zilitunzwa badala ya kulipwa mojakamoja, TANESCO HAWAKUWA WANAKUBALIANA NA GHARAMA ZA MTAJI ULIOWEKEZWA NDIO CHANZO CHA MGOGORO
pita tu siyo lazima uchangie, kuna mijadala ya udaku huko nje nenda kachangie.
.....Acha maneno yasiyo na maana kuita wenzako wajinga huku unachoandika kikiwa kina-reflect hiyo tabia kwa upande wako. Wengine wanajifunza mengi kutokana na vitu vya maana vinavyoandikwa hapa JF.umedefine great thinker kimatendo! bravo bravo! siyo mjinga kule juu ameshindwa hata kupakua hizo files nasimuyake aliyonunuliwa na shemeji yake alafu anatype uchafu tu.
Mbona hamjiulizi kwanini pesa zilitunzwa badala ya kulipwa mojakamoja, TANESCO HAWAKUWA WANAKUBALIANA NA GHARAMA ZA MTAJI ULIOWEKEZWA NDIO CHANZO CHA MGOGORO
Mgogoro na Tanesco ulikuwa juu ya gharama halisi za mtaji ambazo zilitumika kukokotoa 'capacity charges' lakini haikuwa sababu ya pesa kuwekwa Escrow bali ziliwekwa kutokana na mgogoro mwingine baina ya wamiliki wa IPTL. Tanesco wao walilipa kawaida kadiri umeme ulivyozalishwa na kama sio mgogoro baina ya wamiliki wa IPTL, hayo malipo wangeyapata moja kwa moja kama ilivyo kwa AGRECO, Songas na Symbion.
Kama ni ufisadi, basi tuliibiwa tangia wakati ule mkataba wa IPTL ulipotengenezwa mwaka 1994 vinginevyo haya ya Escrow ni ugomvi baina ya wezi wetu wenyewe wanapopunjana kwenye ulaji.
Pata nyaraka zote kuhusu ufisadi wa Tegeta Escrow Account Scandal hapa chini