Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

Tegeta Escrow Account Corruption Scandal: Confidential files you need to read

kafulila yuko hapo kulinda maslahi ya kina mkono,mengi na rostam tu,na sio watanzania,sababu hakuna kampuni inayosaidia watanzania kama PAP/IPTL kwenye unafuu wa gharama za umeme na misaada mbalimbali tofauti na hao symbion anaowatetea

Kha! unatudanganya mchana kweupeeeeeee! zile fedha wanazolipwa zinazoitwa capacity charge, na hata bila ya kuzalisha umeme wao wanaendelea kulipwa tu halafu unatwambia eti umeme wa bei nafuu.

Ndiyo maana tanesco siku zote iko kwenye mstari wa kufilisika kutokana na mikataba mibovu kama hiyo ya akina IPTL,
 
All over the world wafanyabiashara wanatake advantage ya sheria dhaifu kupata faida siyo kwa Tanzania peke yake na hari ni mbaya sana kwa nchi zetu maskini. Swala la capacity charge hilo wameshalizungumzia IPTL na TANESCO na charge zimepunguzwa. Sisi wenyewe kweli tumeamua kujisalimisha kwa mabeberu kisa misaada wanayotugea, kweli??
 
Mkuu huku siyo kupigana hata kidogo, huku ni kujidhalilisha!! haya mambo ndio yanayopelekea wakina David Cameron watuambie tuoane ili watupe misaada. Kwahyo wao ndio nani mpaka Kafulila akaipake nchi matope kwao?? Haya mambo ndio anayoyakataa Comrade MUGABE. Akitoka hapo anaanza kujitamba kwenye magazeti ya udaku eti oooh! hili sakata limeandikwa hata kwenye magazeti ya Sweden na jarida la African Confidential la Uingereza sasa ndio nini. Tunatambua kuwa nchi yetu bado changa ndio na tunategemea misaada lakini hawa mabeberu nao wanainterest zao, sio kila kitu wanachofanya ni kwania njema, hata hilo sikio lakumsikiliza Kafulila leo hawampi kwania njema hata kidogo. Mabeberu siku zote toka dunia imeanza wanaangalia maslahi yao wao. Kwapamoja tujenge Taifa letu kwa maslahi ya kwetu, tuache kutumika. Kwawasio fahamu Kafulila anapigania interest zake binafsi Standard Chartered wapo nyuma ya Kafulila, they are furious sababu ya kupigwa benchi na PAP, jamaa walikuwa wanataka IPTL waichukue.

kwani mmiliki wa IPTL kazaliwa tnzania mkuu..? yeye sio beberu au beberu lazima awe mzungu ...una uhakika IPTL ipo kwa ajili ya watanzania..?
 
kwani mmiliki wa IPTL kazaliwa tnzania mkuu..? yeye sio beberu au beberu lazima awe mzungu ...una uhakika IPTL ipo kwa ajili ya watanzania..?

kwani waliozaliwa Tanzania wote raia mkuu.....? siyo lazima awe mzungu ndio maana tuna mabeberu kama wakina MKONO, MENGI na ROSTAM wanaomtumia KAFULILA kutukejeri watanzania. Kwani wanaotumia umeme wa iptl ni wa rundi..?
 
Pata nyaraka zote kuhusu ufisadi wa Tegeta Escrow Account Scandal hapa chini

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi) wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si kweli.
 
Pata nyaraka zote kuhusu ufisadi wa Tegeta Escrow Account Scandal hapa chini

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.
 
kwani mmiliki wa IPTL kazaliwa tnzania mkuu..? yeye sio beberu au beberu lazima awe mzungu ...una uhakika IPTL ipo kwa ajili ya watanzania..?

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.
 
All over the world wafanyabiashara wanatake advantage ya sheria dhaifu kupata faida siyo kwa Tanzania peke yake na hari ni mbaya sana kwa nchi zetu maskini. Swala la capacity charge hilo wameshalizungumzia IPTL na TANESCO na charge zimepunguzwa. Sisi wenyewe kweli tumeamua kujisalimisha kwa mabeberu kisa misaada wanayotugea, kweli??

Tumefika mahali watanzania tumekuwa kama wale watu
wanaogombania bakuli za supu kwa ng'ombe ambaye
hajachinjwa na pengine hajatolewa hata zizini,Fikiri kama
ng'ombe atakata kama au kutoroka zizini itakuaje?
Tumefika mahali baadhi ya viongozi na wanasiasa kwa kauli
zao au za kutumwa na watu wenye maslahi kwao(mafisadi)
wanajaribu kuwapotosha na kuwarubuni watanzania kwa
kuwaaminisha kuwa IPTL/PAP ilikuwa siyo sahihi kwa
wanunuzi wapya PAP kuzichukua fedha za kwenye akaunti ya
ESCROW kwani fedha hizo ni mali ya serikali,kitu ambacho si
kweli.
 
Sasa Manka Musa kama huna majawabu lazima ucopy na kupaste?

Kumekuwepo na malumbano makubwa kuhusiana na Shirikabinafsi la kufua umeme la IPTL na utendaji wake wa kazi.Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba IPTL ni mojawapo yamashirika ya biashara yaliyoanzishwa katika nchi changa kwajitihada za kukuza uhusiano na ushirikiano wa kiuchumimiongoni mwa nchi changa zenyewe, badala ya kungoja nchiza Magharibi zilete maendeleo kwa nchi changa. Hatua hiyoni sahihi ili kuhakikisha kwamba nchi changa zitegemeanekatika maendeleo.
 
Kumekuwepo na malumbano makubwa kuhusiana na Shirika binafsi la kufua umeme la IPTL na utendaji wake wa kazi.Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba IPTL ni mojawapo yamashirika ya biashara yaliyoanzishwa katika nchi changa kwa jitihada za kukuza uhusiano na ushirikiano wa kiuchumi miongoni mwa nchi changa zenyewe, badala ya kungoja nchiza Magharibi zilete maendeleo kwa nchi changa. Hatua hiyo ni sahihi ili kuhakikisha kwamba nchi changa zitegemeane katika maendeleo.
 
Wewe ndio Maswi nini ? Maana naona unatetea kwa juhudi na maarifa.

Kumekuwepo na malumbano makubwa kuhusiana na Shirika binafsi la kufua umeme la IPTL na utendaji wake wa kazi.Jambo la msingi la kuzingatia ni kwamba IPTL ni mojawapo yamashirika ya biashara yaliyoanzishwa katika nchi changa kwa jitihada za kukuza uhusiano na ushirikiano wa kiuchumi miongoni mwa nchi changa zenyewe, badala ya kungoja nchi za Magharibi zilete maendeleo kwa nchi changa. Hatua hiyoni sahihi ili kuhakikisha kwamba nchi changa zitegemeane katika maendeleo.
 
..ni mradi wa kihuni na ndiyo chanzo cha Tanesco kuwa na matatizo ya fedha.

..mimi siungi mkono kabisa haya makampuni binafsi ya kufua umeme halafu yaiuzie Tanesco.

..msimamo wangu ni kwamba Tanesco wawe na monopoly ktk sekta ya umeme.

Mkuu iptl co mbaya wabaya ni tanesco
 
Kha! unatudanganya mchana kweupeeeeeee! zile fedha wanazolipwa zinazoitwa capacity charge, na hata bila ya kuzalisha umeme wao wanaendelea kulipwa tu halafu unatwambia eti umeme wa bei nafuu.

Ndiyo maana tanesco siku zote iko kwenye mstari wa kufilisika kutokana na mikataba mibovu kama hiyo ya akina IPTL,

Mkuu katika makampuni yote yaliyo wauzia tanesco umeme yote yaliuza bei juu ila iptl pekee ndo chaji zake zipo chini ila wtz atujui ilo na tunakulupuka tu
 
[h=3]IPTL/PAP: SISI SIO SHIRIKA LA UMMA.[/h]

NA MWANDISHI WETU.

Kampuni ya IPTL/PAP imewataka wanasiasa kuzingatia ukweli halisi kuhusiana na kampuni hiyo kuwa ni kampuni binafsi inayojishughulisha na uzalishaji na uuzaji wa umeme na si shirika la umma.

Pia, imesema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji ikiwemo namna ya kuuza na kuzalisha umeme, umiliki na uhalali wa kampuni, uuzaji na ununuaji wa hisa za kampuni ni masuala binafsi ya kampuni .
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana mjini Dar es saalam, Katibu na mshauri wa sheria wa kampuni hiyo Joseph Makandega ilisema IPTL/PAP ni wadau wa kuzalisha na kuuza umeme kwa shirika la umeme nchini(TANESCO).

Ilisema kinacho waunganisha IPTL na umma ni huduma wanayo itoa kwa TANESCO ya uuzaji wa umeme, hivyo kulazimisha umma kujadili mambo ya IPTLya sasa na ya zamani ni upuuzi unaopaswa kudharauliwa .

"Kulazimisha umma kujadili migogoro ya sasa nay a zamani kama mgogoro wa Mechmar na VIP ni sawa na kuwalazimisha watu wajadili migogoro mingine binafsi ya kampuni ambayo si ya umma,"ilisema sehemu ya taarifa hiyo. Taarifa hiyo iliongeza; "pia ni sawa na kulazimisha jamii fulani iache shughuli zao na kujadili mambo bimafsi ya mtu, jambo ambalo si haki na ni upuuzi na inapaswa kukemewa .

Ilisema kampuni binafsi na makini kama IPTL/PAP ina sera zake na misingi yake ya uendeshwaji , hivyo kuruhusu hisia binafsi za wanasiasa uchwara kutawala mjadala kuhusu uendeshwaji wa kampuni ni upuuzi wa kiwango kikubwa.

"Nawasihi wanasiasa hawa japo tunatambua ni wakina nani wanawatumia na kwa maslahi gani? kamwe wasichokoze moto wasioweza na muda si mrefu tutaweka wazi uozo wao wote ,"ilisisitiza taarifa hiyo.
Taarifa hiyo ya Makandege ilisema inawashauri wanasiasa waliokuwa mstari wa mbele kueleza uongo juu ya IPTL/PAP kuwekeza nguvu zao katika kutimiza ahadi zao walizozitoa kipindi cha uchaguzi ikiwemo kuinua uchumi wa wananchi wanao waongoza.

Alisema miongoni mwa wanasiasa hao viherehere wameshindwa kutimiza ahadi zao na sasa wanatafuta umaarufu wakisiasa kupitia suala la IPTL na kuaminisha umma kuwa mali yao wakati sio kweli .

Hivyo, taarifa hiyo ilisema IPTL/PAP inajua ni namna gani hisa za VIP walivyozinunua. Vilevile inafahamu namna hisa za Mechmar zilivyo nunuliwa sisi ni wataalamu wa masuala ya biashara , uwekezaji, uzalishaji, na viwanda hii si siasa wafanye siasa yao bila kuingilia masuala ya kitaalamu. Kupoteza muda wa watanzania kuwajadilisha masuala binafsi tena kwa uongo wa hali ya juu ni jambo ambalo halivumiliki kuwakalia kimya wanasiasa kwahivyo ni kuutumia vibaya muda wa watanzania.

Makandege aliwakaribisha watanzania wote wanaotaka kufahamu maswala mbalimbali yanayohusiana na IPTL/PAP ikiwemo umiliki na uzalishaji wa umeme kutafuta taarifa sahihi kutoka kwenye vyanzo sahihi ambavyo ni wao na si wanasiasa.

Yapo masuala, taasisi na mashirika ambayo ni mali ya umma na watanzania wanaona namna ambavyo yanafujwa na mengineyo yanafujwa na wanasiasa haohao waliojivika usemaji wa IPTL,huku wakishinwa kuyatetea mashirika hayo na badalka yake wamekuwa sehemu ya ufujaji na wanaifanya IPTL kama kivhwa cha kujifichia tunaushahidi na vielelezo vyote na tutaweka wazi muda wowote ili watanzania wawapime malaika hao kama ni malaika au mashetani.

SOURCE: GAZETI LA MAJIRA

HABARI HURU: IPTL/PAP: SISI SIO SHIRIKA LA UMMA.
 
Kha! unatudanganya mchana kweupeeeeeee! zile fedha wanazolipwa zinazoitwa capacity charge, na hata bila ya kuzalisha umeme wao wanaendelea kulipwa tu halafu unatwambia eti umeme wa bei nafuu.

Ndiyo maana tanesco siku zote iko kwenye mstari wa kufilisika kutokana na mikataba mibovu kama hiyo ya akina IPTL,

unaelewa maana ya capacity charge umeklemishwa kama kasuku
 
Mkuu katika makampuni yote yaliyo wauzia tanesco umeme yote yaliuza bei juu ila iptl pekee ndo chaji zake zipo chini ila wtz atujui ilo na tunakulupuka tu

Hatukurupuki mzee hebu jaribu kuuliza ni nani analipia gharama za mafuta mazito ya kuendeshea ile mitambo? Hapo ni juu ya ile capacity charge.
 
Back
Top Bottom