makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Kama chaji inakusumbua nunua SQ 1000 moto unakaa mwezi mzima na pia unaweza chaji simu nyingine ikiisha chaji.Mm simu hii nimechaji toka jana mpaka sasa chaji ipo nusu halafu hata ukeshe kwenye mtandao haiwi yamoto.
Mbona tecno yangu ipo imara mkuu.Umeniwahi kwenye hili. Nafikiri zile simu zinz expire baada ya mwaka.
Safi tu vipi umeshatoka kwenye Soketi ?
Hahahaaaa. Hebu niache Zero. Hahahaaaa.
Toka jana asubuhi mpaka sasa angalia chaji iliyopo.
Kwa watu wa whatsapp na insta simu charge nyingi zinawafaa ila kwa wale wanaozigeuza simu kuwa kama PC tunahitaji zaidi ya charge na tuko tayar kubeba betri nne nne /charger au powerbankWazee wa kukaaa kwenye soketi ya umeme wakija hapa hawatakuelewa mi ni bora simu inisumbue mengine lakini siyo kwenye chaji asee
HahahahahaaaaHahahaaaa. Walaaaaaaaaaaa.
Hayo mambo mnayo nyie wa Tecno.
Sasa hivi tecno nyingi tu zina betri za 5000mAhOkay... Battery ya iPhone 6 si ni mAh 1800 hivi..
Kama unakaa nayo 24 hrs basi utakuwa huna matumizi mengi na simu yako
Sasa hivi unatumia nini?
Mi Tecno ilinishinda kwa visa vyake. Bombardier ikipita juu yenyewe inajichaji automatikale. Ukienda hospitalini nesi akishika sindano yenyewe ina vibrate. Ukienda nayo msalani inapoteza network afu inaanza kuimba taarab...
Mie Alhandulillah.Namshukuru Mungu, hofu kwako Dada yangu
Acha masihara wewe, utakuwa mhaya bila shakaπππWewe ndio mtu wa kwanza kusifia tecno phones, maana hizi simu naona watu wengi watumiaji wanalalamika tu lakini wanazitumia, binafsi sijui chochote kuhusu tecno kwani hata kuzishika tu sijawaji
Nimefurahi kusikia hivyoMie Alhandulillah.
Tatizo la mtandao sio simu, hata ingekuwa iPhone ingezingua hivyo hivyoNgoja waje mpambane ila kiukweli Tecno niliwahi tumia na ikanizingua upande wa Network yaani ukiwa mjini ndio unapatikana nikirudi home ni kama nina kopo tu.
Toka hapo sijawahi tumia tena Tecno aiseee na sitatumia tena. Ilikuwa Tecno C9 hiyo.
Bila kusahau sisi wa NokiaWale wa IPhone tunaweka wapi Reply zetu?
HV uko serious kabisa?? Kajifikirie tena mkuu...W4 sio simu ..ikianza kustuck utaipasua kama unahasira
Huyu atakuwa ni Mhaya tu bila shakaπππsent from my Iphone X and samsung note 9, nimezinunua jana pale karume karbu na duka la mapajama
Huyu atakuwa ni Mhaya tu bila shakaπππsent from my Iphone X and samsung note 9, nimezinunua jana pale karume karbu na duka la mapajama
Mmmh.Tatizo la mtandao sio simu, hata ingekuwa iPhone ingezingua hivyo hivyo