Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..

Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??

Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
[emoji23][emoji23]

Kuna ukweli
 
Full burudani mkuu

Chaji inakaa muda mrefu

Screen pana

Simu nyepesi inafanya kazi kwa ubora

Imeshawahi anguka kama Mara NNE hivi lakini kitu chuma chumaa
Alaf hawa wenye vi iphone vya kurefubrish wanatusumbua na mipower bank
 
Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..

Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??

Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
Sahihi mkuu mi mwenyewe baada ya kuyumba kiuchumi ndio nkachukua hii spark 2
 
Hivi huu uzi hata sisi wenye iphone tunaweza kuchangia kwa kuchanganyika na wenye vitechno, tusumsung na vi itel.? Tusijekwaza watu bure....
 
Message/post zenu huwa zinajitenga. We changia tu usiwe na hofu
 
natoka nje ya mada. nimependa hili toleo jipya la sasa camon 11 ila natamani kujua 11 pro inaweza kwenda kwa bei gani anayejua
 
Back
Top Bottom