Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,696
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,696 2,000
Yah najua wanaiga simu nyengine ambazo ni brand maarufu ila ninachozungumzia ni kwamba hakuna haja ya kununua simu yenye specifications nyingi wakati hauzitumii, ndo mana nashauri watu wanunue simu za bei rahisi kulingana na matumizi yao jinsi yalivyo rahisi
Ukisema hivi hata hao wanazi wa tecno wanaingia kwenye mkumbo huo huo tena.

Maana tofauti ya samsung na tecno au iphone ni quality tu,sio quantity.

Leo hii ukichukua simu ya samsung yenye ram 1 gb itakuwa ni simu ya miaka hata 5 nyuma,lakini itakuwa ni nzuri na bora zaidi ya tecno yenye gb moja ya mwaka huu.
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,608
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,608 2,000
Nimefukua kaburi;

Kwa kweli baada ya kuwatetea kwa muda mrefu nimegundua TECNO ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.

Hizi simu ni za kipumbavu kupata kutokea. Mara sijui… has stopped, mara ooh memory full. Useless kabisa.

Tena zipo brand nyingi sana za chinq zenye simu zilizo update kabisa , eventhough ni MTK,

Tecno kwaherini, no bora nitumie kina Elephone, Leagoo, Umidigi, Xiaomi, Vivo.

(Ila hii post ni sent using Tecno F3)
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
7,485
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
7,485 2,000

kama wewe mtetezi namba moja umeamua hivi basi kazi kweli kweli
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,350
Points
2,000
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,350 2,000
Simu za TECNO zinauzwa bei ghali sana kulinganisha na uwezo wake.
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,608
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,608 2,000
Simu za TECNO zinauzwa bei ghali sana kulinganisha na uwezo wake.
Ni kweli kabisa. Kwa bei za Tecno tunapigwa balaa. Yan mfano Tecno Pop 1 yenye ram 1gb; Internal 8gb; kioo TFT 480×960; Camera front and back:5mp Processor: mt6580 (28nm) , unakuja kuta 180-170k

Kiukweli Tecno wanafaidi sana pesa za waafrica.

Mfano brand nyingine
Eg: Leagoo ( 4gb ram; 32gb internal; Processor HElio A22; kioo: Ips HD+ technolgy, curved screen, Camera back 8mp+2mp / front: 5mp) bei 180k

Nasisitiza tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,608
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,608 2,000
kama wewe mtetezi namba moja umeamua hivi basi kazi kweli kweli
Hakuna namna ndugu yangu. Hawa jamaa nimewapa pesa mingi sana ila ni watu useless kabisa. Especially developers wao ndio mavi kabisa. Yan ni wapuuzi totally

mimi nina uzoefu nao sana ' cheki list ya simu zao nimenunua

T20
T30
P5
S5
P9
Y3+
W3 LTE
WX3 LTE
F3 Pop1

Tecno mnatupiga sana waafrika
 
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
2,350
Points
2,000
pandagichiza

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
2,350 2,000
Ni kweli kabisa. Kwa bei za Tecno tunapigwa balaa. Yan mfano Tecno Pop 1 yenye ram 1gb; Internal 8gb; kioo TFT 480×960; Camera front and back:5mp Processor: mt6580 (28nm) , unakuja kuta 180-170k
Kiukweli Tecno wanafaidi sana pesa za waafrica.
Mfano brand nyingine
Eg: Leagoo ( 4gb ram; 32gb internal; Processor HElio A22; kioo: Ips HD+ technolgy, curved screen, Camera back 8mp+2mp / front: 5mp) bei 180k
Nasisitiza tecno ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu.
Hawa jamaa wanatupiga sana aisee, ni vile tu wamefanikiwa kujitangaza na wamekuwa maarufu. Karibia kila mtanzania anayefikiria kumiliki smartphone anawaza TECNO
 
Vamosdm05

Vamosdm05

Member
Joined
Dec 4, 2018
Messages
93
Points
125
Vamosdm05

Vamosdm05

Member
Joined Dec 4, 2018
93 125
Legend wa Tecno pole sana ndugu yangu
Hakuna namna ndugu yangu. Hawa jamaa nimewapa pesa mingi sana ila ni watu useless kabisa. Especially developers wao ndio mavi kabisa. Yan ni wapuuzi totally

mimi nina uzoefu nao sana ' cheki list ya siku zao nimenunua

T20
T30
P5
S5
P9
Y3+
W3 LTE
WX3 LTE
F3 Pop1

Tecno mnatupiga sana waafrika
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,608
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,608 2,000
Ni sahihi kabisa.

Ukimchukua mtanzania wa kawaida ukamuwekea Xiaomi Redmi 7 na Tecno C11 lazima ataenda tecno tu.

Kwenye branding wamefanikiwa sana ila kwenye ubora ni upuuzi
Hawa jamaa wanatupiga sana aisee, ni vile tu wamefanikiwa kujitangaza na wamekuwa maarufu. Karibia kila mtanzania anayefikiria kumiliki smartphone anawaza TECNO
 
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined
Sep 25, 2015
Messages
5,608
Points
2,000
Philipo D. Ruzige

Philipo D. Ruzige

Verified Member
Joined Sep 25, 2015
5,608 2,000
Hawa jamaa wamenikomba sana pesa zangu. Yan simu hizo zote nilinunua brand new kwenye box.

Tecno wamejua kutunyoosha na kwenye hilo wamefanikiwa
Legend wa Tecno pole sana ndugu yangu
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
7,485
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
7,485 2,000
Hakuna namna ndugu yangu. Hawa jamaa nimewapa pesa mingi sana ila ni watu useless kabisa. Especially developers wao ndio mavi kabisa. Yan ni wapuuzi totally

mimi nina uzoefu nao sana ' cheki list ya simu zao nimenunua

T20
T30
P5
S5
P9
Y3+
W3 LTE
WX3 LTE
F3 Pop1

Tecno mnatupiga sana waafrika
😂 😂😂😂
kweli wamekula sana hela zako ndugu
 
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
6,355
Points
2,000
Ollachuga Oc

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
6,355 2,000
Hakuna namna ndugu yangu. Hawa jamaa nimewapa pesa mingi sana ila ni watu useless kabisa. Especially developers wao ndio mavi kabisa. Yan ni wapuuzi totally

mimi nina uzoefu nao sana ' cheki list ya simu zao nimenunua

T20
T30
P5
S5
P9
Y3+
W3 LTE
WX3 LTE
F3 Pop1

Tecno mnatupiga sana waafrika
Mkuu nikitaka niblock Namba kwenye tecno nafanyaje?
 
Forum statistics

Threads 1,295,671
Members 498,336
Posts 31,219,153
Top