Nimekusoma mkuu.Hii ni strategy tu ua GSM arena kuongeza Traffic ya Website yao thou wametengenezea Tecno platform kubwa ya kufanya biashara zaidi.
Hii ni Win win situation au Mutual benefit.
GSM arena watapata trafic kubwana sana dunia nzima na hivyo kuwaongezea mapato mara dufu na pia Tecno watauza sana Simu hivyo kuwapa matokeo chanya.
Lakini ubora wa simu za tecno bana una compromise. Simu za tecno ni Sub standard sana kila mtu analijua hili.
Anatumia very low quality chips. Ndo maana wachina wenzie kama OPPO na XIAOMI wame penetrate kwenye international market while they are emerging in Technology. Wakati tecno yupo miaka nenda rudi lakini ana poor product.
Nawashauri tecno siku moja watengeneze simu yao na waweke SOC ya Snapdragon.
Jamaa walitunyanyasa sana kwa kisingizio GSM ARENA ndio TBS ya Simu duniani[emoji23]Hatimaye wanyonge kilio chetu kimesikika
Ni synonym tuu. Yote ni sawaNimekusoma mkuu.
Kuna tofauti gani kati ya SUB-STANDARD na LOWER END ?
Tecno ni simu lower end ila sio sub-standard. Hakuna nchi ingekubali kuuzwa nchini mwake kama zingekua sub-standardNi synonym tuu. Yote ni sawa
Redirect NoticeHii ni strategy tu ua GSM arena kuongeza Traffic ya Website yao thou wametengenezea Tecno platform kubwa ya kufanya biashara zaidi.
Hii ni Win win situation au Mutual benefit.
GSM arena watapata trafic kubwana sana dunia nzima na hivyo kuwaongezea mapato mara dufu na pia Tecno watauza sana Simu hivyo kuwapa matokeo chanya.
Lakini ubora wa simu za tecno bana una compromise. Simu za tecno ni Sub standard sana kila mtu analijua hili.
Anatumia very low quality chips. Ndo maana wachina wenzie kama OPPO na XIAOMI wame penetrate kwenye international market while they are emerging in Technology. Wakati tecno yupo miaka nenda rudi lakini ana poor product.
Nawashauri tecno siku moja watengeneze simu yao na waweke SOC ya Snapdragon.
Unajua tofaut ya Sub standard na fake?Tecno ni simu lower end ila sio sub-standard. Hakuna nchi ingekubali kuuzwa nchini mwake kama zingekua sub-standard
Kwa uelewa wangu hayo maneno mawili yana maana ambazo zinafanana.Unajua tofaut ya Sub standard na fake?
Wamezizindua India/bangladesh na soko la karibu na hizo nchi, Gsmarena yupo Active sana hapoHii ni strategy tu ua GSM arena kuongeza Traffic ya Website yao thou wametengenezea Tecno platform kubwa ya kufanya biashara zaidi.
Hii ni Win win situation au Mutual benefit.
GSM arena watapata trafic kubwana sana dunia nzima na hivyo kuwaongezea mapato mara dufu na pia Tecno watauza sana Simu hivyo kuwapa matokeo chanya.
Lakini ubora wa simu za tecno bana una compromise. Simu za tecno ni Sub standard sana kila mtu analijua hili.
Anatumia very low quality chips. Ndo maana wachina wenzie kama OPPO na XIAOMI wame penetrate kwenye international market while they are emerging in Technology. Wakati tecno yupo miaka nenda rudi lakini ana poor product.
Nawashauri tecno siku moja watengeneze simu yao na waweke SOC ya Snapdragon.
Hizo zote zipo na zimezagaa kitaa kama wanawake wa pwani na madera tu.Hizo tecno zilizoingia gsm arena huku bongo hazihuziki sababu bei yake itakuwa juu.
Hizo zote zipo na zimezagaa kitaa kama wanawake wa pwani na madera tu.
Phantom 8 ndio adimu kutokana na bei
Ndio flag ya tecno. Pia ina specs za juu zaidi (cheki gsm arena)Hizo ni bei gani?kwahiyo phantom zipo bora zaidi ya hizi?
nilitegemea uzi huu uwe ushafika page zaidi ya 30 mpaka sasa!
wenye simu zao siwaoni wakijumuika kuja piga vigelegele
hahahaha wameamua kuasi kambi![emoji23][emoji23][emoji23]leo wote wana samsung
Kwaiyo sasa tecno inauza bidhaa zake india?Wamezizindua India/bangladesh na soko la karibu na hizo nchi, Gsmarena yupo Active sana hapo
Ndio mkuu lazima ipitie na ipimwe ila swali jengine muhimu zitakazouzwa huko ni model hizo hizo zitakazokuja huku?Kwaiyo sasa tecno inauza bidhaa zake india?
nchi zote kubwa duniani si kunakuwa na chombo kinachopima simu zinazoingia nchini mwao. mifano ya hivyo vyombo ni kama TENAA (china), FCC (marekani) na nchi ambazo hazina vyombo vyake hutumia standard za vyombo vyengine, mfano India nae anatumia FCC.
ili simu iuzwe india inabidi iwe imefaulu vipimo kwanza ndo iingie sokoni,kwa maana hiyo kama tecno imeanza kuuzika huko India inamaana imefaulu vipimo ?(sar)level