Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
- Thread starter
- #41
Long live Duro.Kwaiyo sasa tecno inauza bidhaa zake india?
nchi zote kubwa duniani si kunakuwa na chombo kinachopima simu zinazoingia nchini mwao. mifano ya hivyo vyombo ni kama TENAA (china), FCC (marekani) na nchi ambazo hazina vyombo vyake hutumia standard za vyombo vyengine, mfano India nae anatumia FCC.
ili simu iuzwe india inabidi iwe imefaulu vipimo kwanza ndo iingie sokoni,kwa maana hiyo kama tecno imeanza kuuzika huko India inamaana imefaulu vipimo ?(sar)level
Washakubali sasa, ngoja tusubiri wakuje na kisingizio mpya