Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,196
- 4,552
wakuu habari ,Najitokeza jukwaani tena kuomba msaada wenu wa kimaarifa.Imekuwa kama kawaida kwamba ukigugo simu nying utaona specification za uhakika ambazo ni sawa kabisa na features zote za simu husika hasa kupitia gsm arena .ila kuna hii kampuni ye2 ya tecnO ,hawa jamaa hawapo hata kwenye hyo gsmarena na ukichek simu zao naona zina ubora wa juu .Je NI kigezo gani hutumika kwa simu kuweka specification za sm gsmarena