Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

Tecno Mobile ndani ya GSM Arena

I heard more than 85% of Tanzanians are tecno users! What does that actually mean? Tusaidiane apo wakuu
 
Affordability.

Ngoja tusubir wenye samsung na iphone waje hapa...

Nakumbuka battle ya iphone na samsung mpaka mtu mmoja akamuita mwenza iSHEEP[emoji23]
 
Kuwepo gsmarena sio kwamba ndio Tecno inakua bora...Huko ndio mnaenda kua uchi,mana tutajua hadi sensor mnazofunga mweny camera,,yani kiufupi tecno ndio imeenda kukaa uchi huko gsmarena..

Hii ni nzuri mana itakua rahis kuondoa ubishi humu haswa kweny comparison za ubora.
 
Mlikuja na kisingizio kuwa ni substandard ndio mana hazipo gsm arena. Sasa zimewekwa , mnakuja na mapya.

Btw tecno kutumia cheap sensors/soc ni kitu cha kawaida , kwa kuwa inamlenga mtumiaji wa gharama ya chini. Ndio mana leo hii kuna smartphone za tecno mpaka 89k brand new kabisa.

Yaho mambo ya sijui compass, sijui sensor gani, sijui sensa ya watu na makazi waachie advanced users.
 
Sio kweli kwamba tecno imemlenga mtumiaji wa hali ya chini...

Hivi tecno ngapi gharama yake ni kubwa kuliko kawaida yet ina specs za ajabu,,kuna simu zina specs nzur na bei ni nafuu kuliko hizo tecno..

We jamaa unafanya kaz tecno nin?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyi kazi tecno. Ila ni mfia tecno.

Nipe mfano wa hiyovaimu yenye specs ndogo na bei yake ..
 
Binafsi sijawahi kukutana na simu ya tecno nikaridhika na bei tajwa.

Yaani ukikutana na tecno ya laki tano,utaishangaa sana.
 
Hayo ndio makadirio. Ila maduka ya kawaida unaweza pata hata kwenye 370000/= hivi. (sina uhakika sana)View attachment 965421

Yako matoleo mawili ya hio simu kuna camon 11 na camon 11 pro. ni camon 11 tu ndo inaonekana madukani camon 11 pro naona bado hazijaingia sokoni ila i wished ningejua approximately ingekuwa bei gani.
 
Samahani mkuu hivi hizo 28nm, 22nm zinamaanisha nini kwenye simu na nikitaka na mimi kujua hii simu ina 7nm yaani sasa kama ndio inayotamba nafanyaje kujua?
Mkuu hio ni manufacturing process na hio nm maana yake ni nanometer kwenye mita moja kuna nanomita bilioni moja.

Jinsi nanomita zinavyokuwa ndogo kutoka 28nm kuja 14nm etc kunasababisha processor ama soc nayo kuwa ndogo, kuongezeka perfomance na kula chaji kidogo,bila kusahau bei kushuka.

Ndio maana unakuta 2012 simu kama note 2 inapitwa kila idara na simu kama j5 pro

-Note 2 ilikuwa na 3100mah ila inapitwa ukaaji chaji na 3000mah ya j5 pro

gsmarena_001.jpg

gsmarena_003.jpg

Kipindi note 2 inatoka ilikuwa inauzwa zaidi ya milioni 1 ila hio j5 inapatikana hadi chini ya laki 5 hapo unaona miaka 5 na kuimprove kwa manufacturing process kumeshusha bei ya simu, perfomance ambayo ulikuwa unailipia milioni 1 miaka 5 iliopita leo hii unaipata hadi laki 2 ama 3.

Angalia hii video kwa maelezo zaidi

Kuhusu kujua simu inatumia nm gani unaiona tu kwenye website inayoonyesha specs mfano gsmarena.

Simu zinazotumia 7nm kwa sasa ni zile za mamilioni sababu bado ni technology mpya.

Mfano iphone soc yao mpya ya A12 ukiangalia specs gsmarena utaona
Screenshot_20181212-132354.jpg
 
Hizi 28nm/27nm etc. kwa mtumiaji mtanzania ni mbwembwe tu zisizo na tija. Sisi bongo bora tuingie jf. Insta, fb, tweeter, whatsapp, viber na kamera kali tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tecno p3 kipindi inatoka miaka hio ilikuwa inakaa na chaji kiasi gani? Na tecno ya sasa inakaa na chaji kiasi gani? Kama vipi tupa hio mbwembwe yako ya sasa rudia tena p3 uanze kutembea na power bank
 
Mkuu hio ni manufacturing process na hio nm maana yake ni nanometer kwenye mita moja kuna nanomita bilioni moja.

Jinsi nanomita zinavyokuwa ndogo kutoka 28nm kuja 14nm etc kunasababisha processor ama soc nayo kuwa ndogo, kuongezeka perfomance na kula chaji kidogo,bila kusahau bei kushuka.

Ndio maana unakuta 2012 simu kama note 2 inapitwa kila idara na simu kama j5 pro

-Note 2 ilikuwa na 3100mah ila inapitwa ukaaji chaji na 3000mah ya j5 pro

gsmarena_001.jpg

gsmarena_003.jpg

Kipindi note 2 inatoka ilikuwa inauzwa zaidi ya milioni 1 ila hio j5 inapatikana hadi chini ya laki 5 hapo unaona miaka 5 na kuimprove kwa manufacturing process kumeshusha bei ya simu, perfomance ambayo ulikuwa unailipia milioni 1 miaka 5 iliopita leo hii unaipata hadi laki 2 ama 3.

Angalia hii video kwa maelezo zaidi

Kuhusu kujua simu inatumia nm gani unaiona tu kwenye website inayoonyesha specs mfano gsmarena.

Simu zinazotumia 7nm kwa sasa ni zile za mamilioni sababu bado ni technology mpya.

Mfano iphone soc yao mpya ya A12 ukiangalia specs gsmarena utaona
View attachment 965723
Asante kwa maelezo ya kutosha kabisa. Binafsi hizo mambo za nm zilikua zimenipitia kushoto. (nimejifunza kitu kipya)

Nilichokua nasema mimi ni kuwa kwa mtumiaji wa kawaida , wa bei ya chini suala la nm kwake sio kitu. Na hata ukimtajia ataona ni mbwembwe tu. Cha msingi simu inaperform task anazotaka ndio anachoangalia.
 
Yako matoleo mawili ya hio simu kuna camon 11 na camon 11 pro. ni camon 11 tu ndo inaonekana madukani camon 11 pro naona bado hazijaingia sokoni ila i wished ningejua approximately ingekuwa bei gani.
Nimeona kenya ni 23,999Ksh kwa pro. Sasa hebu fanya estimation kibongo bongo
 
Cha msingi ni kuwa tu inakidhi vigezo / inakidhi mahitaji yako ambayo kwa watumiaji wa tanzania ni , voice calls, sms, social network apps na browsing tu.

Hizo maviti nyingine ni hazina lazima.

Waulize watumiaji wangapi wa samsung /apple wanatumia hizo apple pay, samsung pay, nfc etc.
Unakuta mtu kanunua simu yenye specifications nyingi ambazo hazitumii kabisa sana sana anaingia JF, instagram, what's up basi kamaliza.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya insta ya samsung na tecno.

Tecno ni simu yenye kila kitu,ila kuiweka na samsung kundi moja,ni kuipa sifa tecno ambazo haina.hata yenyewe inajua,ndio maana siku hizi wanajitahidi kuficha jina,na kuiga muundo wa simu kubwa.

Nitajie tecno hata moja ambayo haifanani na simu kubwa kabla yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sifanyi kazi tecno. Ila ni mfia tecno.

Nipe mfano wa hiyovaimu yenye specs ndogo na bei yake ..
Ni nyingi sana ,,sasa kaangalie specs za Phantom 6 plus inayouzwa laki 8,fananisha hata na samsung s5,s6 ambazo ni below laki 5..kwel utatoa laki 8 ununue phantom 6 plus?
 
Itakuwa wamekidhi vigezo , ila sidhani tecno zitanazo onekana Arena ndio zitapatikana Africa, nadhani zitakuwa kwa ajili ya soko la ulaya tu, nyie mtaendelea kupewa makapi mwanzo mwisho
 
Tecno ni vifaa vya mawasiliano unavyotumia ukiwa huna hela .ukipata pesa unanunua simu kama samsung ,nokia na iphone..

Watu wanaoitetea tecno kwamba wanaipenda wakipewa samsung na tecno ni nani atachagua tecno??

Watu tuseme ukweli tu kwamba ukiwa umeyumba kidogo unaymtumia tecno hilo halina ubishi lakini mtu akisema ana mapenzi na tecno aende akatubu tu
We jamaa umeongea ukweli kabisa
 
Itakuwa wamekidhi vigezo , ila sidhani tecno zitanazo onekana Arena ndio zitapatikana Africa, nadhani zitakuwa kwa ajili ya soko la ulaya tu, nyie mtaendelea kupewa makapi mwanzo mwisho
We jamaa acha kupotosha uma.

Angalia list ya tecno zilizopo gms alaf urudi hapa.

Mimi natumia f3 (Pop 1) kaangalie kama haipo alaf niambie taarifa gani unahitaji kwa simu yangu kuthibitisha
 
Back
Top Bottom