Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

Ndugu zangu natafuta nafasi ya kufundisha Dodoma mjini masomo geography, economics na commerce nina uzoefu wa miaka 3 namba yangu ni 0715-140 001
 
teachers‘ junction;9164429 said:
Hivi humu jf hawa walimu hawapo?.
tunapata walimu wengine.
please kama kuna mtu unamfahamu hata kama anafanyakaz somwhr especialy in a private school plz mpe hii taarifa.
take home ni 650,000/= to 700,000/=
nafasi zimefika tano tafadhali hebu tokeni huko mafichoni.
0753-810857

mimi nna uwezo wa kufundisha somo la kiswahili japo sina uzoefu wa miaka miwili in teaching....lakini nna uwezo na somo hilo asilimia mia.....ila nimesoma sociology
 
Ninauwezo wa kufundisha masomo ya English na Geography na ninauzoefu wa mwaka mmja na miezi minane nikifundisha masomo haya kwa ngazi ya secondary ila profession yangu ni sheria (LL.B) na nipo Arusha. Ninaomba kama naweza pata kazi ya kufundisha masomo haya no. yangu 0754037153.
 
nyie ni mawakala wa ajira za ualimu au/sijawaelewa au mnahusika na kipi haswa ebu dadafueni wakuu
 
matapeli hawa kama jaribu uone

wacha kusambaza ujinga kwenyn vichwa vya watu.
Tumepata walimu zaidi ya 63 toka mwaka jana kupitia hapa jf je kuna alokuja kulalamikia kuibiwa au kutapeliwa?
wacha ku-dhani kisha ku-disapoint wengne
 
walimu wa Kiislam.
Hitajio la haraka..
wawe na Diploma au Grade A..
Shule iko tabata kinyerezi
Nafasi nne kwa walimu wa Diploma na tatu kwa Grade A.
0753-810857
 
Mimi c mwalimu by professional ila ninaweza kufundisha vizuri sana masomo ya English na History, nimesoma BA- INTERNATIONAL RELATIONS , kama kuna nafac ya kufubdisha popote nipo tayari.
 
Walimu walokwenda kufanya interview leo 08,04,2014.
Reminant tabata,Zabikha Islamic Kinyerezi na Centennial Seminary.
Mungu awaongoze.

Kwa wale wa kesho interview ya Agape High School iko pale pale pamoja na ya Reminant.
Jitahdi kufika kabla ya saa tatu.
Mungu atuongoze kwa kila jambo
0753-810857
 
Walimu wa Kiislam wa masomo ya chemistry, Physics,mathematics and Biology.
1.Diploma nafasi 4.
Shule iko kimara dar es salaam.
Salary 500,000/= to 550,000/=
2.Graduate nafasi 5.
shule ni ubungo,kimara,Kinyerezi na tegeta.
Salary 550,000/= to 680,000/=
jhtahd kuwahi.
Fika Teachers‘ Junction Magomeni Mapipa. teachers‘ Networking Centre.
0753-810857.
Assalam Allykhum
 
Habari wana jf
Kama teachers Networkng Centre.
tunahitajio la haraka la walimu ambao pia form six walifanya science pcm,pcb au cbg awe mwalimu au mwenye taaluma nyingne,awe tayari kufundisha primary english medium.
proposed salary450,000/= to 520,000/=
shule ziko mbagala Dar es salaam na kongowe pwani.
0753-810857
au fika ofcn kwetu magomen mapipa Dar es salaa.
au kwa mbeya iringa na rukwa
mnawezatembea ofc zetu zilizoko mbeya karibu na chuo cha mzumbe kwa mahitaji ya masomo mengine au piga simu.
0655-586906 mbeya.
 
Habari wana jf
Kama teachers Networkng Centre.
tunahitajio la haraka la walimu ambao pia form six walifanya science pcm,pcb au cbg awe mwalimu au mwenye taaluma nyingne,awe tayari kufundisha primary english medium.
proposed salary450,000/= to 520,000/=
shule ziko mbagala Dar es salaam na kongowe pwani.
0753-810857
au fika ofcn kwetu magomen mapipa Dar es salaa.
au kwa mbeya iringa na rukwa
mnawezatembea ofc zetu zilizoko mbeya karibu na chuo cha mzumbe kwa mahitaji ya masomo mengine au piga simu.
0655-586906 mbeya.
 
Nyingine.
Mwalimu wa Diploma
Kiswahili na social study
Maeneo.
Mikocheni na Kinyerezi.
salary not less than 500,000/=

Nursery Teachers
Nursery and Lower Primary.
Maeneo ni.
Mikocheni na kimara
Salary not less than 250,000/=

Pia kuna Grdaduate au Diploma
aweze Geograph ama English.
0753-810857
kabla ya jumaapili 27th,04,2014
 
Mimi ni mhitimu wa kitado cha sita lakin pia nina Stashahada ya Manunuzi na Ugavi
Natafuta kazi ya kufundisha Maths O'level ama medium primary school yoyote,
Niko Mbagala kwa mpili DSM
 
Ninauzoefu wa kutosha wa kufundisha masomo ya English Language na Geography ila nina degree ya biashara. Nipo tayari hata kesho namba 0714442267.
 
Wakuu naombeni mniunganishe kwa hiyo teachers junction nataka nimtafutie kazi wife huko!
 
Back
Top Bottom