Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

teachers‘ junction;9053296 said:
sijakuelewa

Naomba nifikiliwe jamanii...nina
uwezo wa kufundusha history na
kiswahili olevel..ingawa nmesoma
ba ya journalism..lakini ndani yake
nmesomea hayo kama mwandishi ni
sehemu ya mwalimu hvyo basi
naomba ikionekana kuna nafasi ya
masomo hayo nipo tayari nipo dar.
namba zangu za simu ni
0757533748, 0718780448,
0682284573...nna nilishawahi
kufundisha miezi 8 by the time
nmemaliza form six. na elimu ya
chuo pia nmesoma kiswahili na
history na prinsple of teaching as a
subject ukiacha all packege nyngne
ya journalism.. npo tayarii. ndicho nilichamaanisha mkuu..
 
Habari Wana jf.
Walimu wote walosajiliwa na kufanyiwa usaili na wasofanyiwa.
interview zinaendelea ili wawe tayari kwani order nyingi ni baada ya kufunguliwa kwa shule,i mean baada ya pasaka.
Order za History,Geography,civics,science na mathematics.
kongowe mbagala,mbezi kimara,kimara mwisho na tabata kwa bibi.
Diploma
Graduate
Nursery
0753810857
karibuni
 
achene utapeli na kutaka kutajirikia kupitia migongo ya wafua jasho mnapaswa kutiwa mbaroni na kufungwa kwani nyie ni sawa na wazi wa nguvu kazi za watu
 
achene utapeli na kutaka kutajirikia kupitia migongo ya wafua jasho mnapaswa kutiwa mbaroni na kufungwa kwani nyie ni sawa na wazi wa nguvu kazi za watu

jomy natamani sana kupata ufafanuz kutoka kwako unadhani ni utapeli gani tunafanya?
kwa kumtafutia mwalimu link ya shule au kumkata makato kwa miez mitatu?
huenda hujaelewa au hatujakuelewa?
 
Naomba nifikiliwe jamanii...nina uwezo wa kufundusha history na kiswahili olevel..ingawa nmesoma ba ya journalism..lakini ndani yake nmesomea hayo kama mwandishi ni sehemu ya mwalimu hvyo basi naomba ikionekana kuna nafasi ya masomo hayo nipo tayari nipo dar. namba zangu za simu ni 0757533748, 0718780448, 0682284573...nna nilishawahi kufundisha miezi 8 by the time nmemaliza form six. na elimu ya chuo pia nmesoma kiswahili na history na prinsple of teaching as a subject ukiacha all packege nyngne ya journalism.. npo tayarii

Mkuu uwe makini unakosea sana spelling
 
its ok nakili nimekosea wakuu, ahsanteni kwa kunikosea nitajirekebisha.

Wamekukosea nin tena mkuu? au ulikuwa unamaanisha ahsanteni kwa kunikosoa? du majanga haya, you isn't a professional teacher vinginevyo unaweza kuwa kama yule mwalimu aliyembishia na kumchapa mwanafunzi kuwa luninga haiwashwi kwa remote, bali inawashwa kwa kile kitufe cha kuwashia papo hapo kwenye luninga, kwakuwa ndio luninga pekee aliyowahi kuiona toka azaliwe.Na kitendo cha kukosea spelling kuna badili maana ya maneno mf. ukaandika neno ubaoni na kuambia wanafunzi wasome kwa pamoja neno kum* lakini kumbe nia yako ilikuwa kuandika neno kama.Kuwa makini mkuu.
 
"you isn't a professional teacher" mmmmh
 
"you isn't a professional teacher" mmmmh
ok, nilimaanisha kunikosoa na wala si kunikosea, nadhani hapo sasa nimeeleweka. Ni bahati mbaya na wala si ndicho nilichofikiria kuandika hivyo mlivyoona, naamini kwa marekebisho haya sasa mmenielewa.
 
:flypig::flypig:
teachers‘ junction;8011417 said:
Habari wana JF.

Mawakala wa ajira za walimu tanzania "Teachers junction" kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu. Hivyo walimu, wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya kufundisha. Tunashauri wawe na mazoea ya kupita hapa kila mara ili kujua nini tunacho kwa wakati huo. Pia zingatia kuwa nafasi zitakazotangazwa ni zile zilizopo kwa wakati huo.

Hata hivyo mwalimu anapofanya usajili wakati nafasi yake hakuna atapewa kipaumbele pindi itokeapo kabla ya kutangazwa.

Teachers junction the strength of eduation.
+255753-810857
 
Wamekukosea nin
tena mkuu? au ulikuwa unamaanisha ahsanteni kwa kunikosoa? du majanga
haya, you isn't a professional teacher vinginevyo unaweza kuwa kama yule
mwalimu aliyembishia na kumchapa mwanafunzi kuwa luninga haiwashwi kwa
remote, bali inawashwa kwa kile kitufe cha kuwashia papo hapo kwenye
luninga, kwakuwa ndio luninga pekee aliyowahi kuiona toka azaliwe.Na
kitendo cha kukosea spelling kuna badili maana ya maneno mf. ukaandika
neno ubaoni na kuambia wanafunzi wasome kwa pamoja neno kum* lakini
kumbe nia yako ilikuwa kuandika neno kama.Kuwa makini mkuu.

screen touch hizo.
 
Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857
 
teachers‘ junction;9147098 said:
Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857

Hivi humu jf hawa walimu hawapo?.
tunapata walimu wengine.
please kama kuna mtu unamfahamu hata kama anafanyakaz somwhr especialy in a private school plz mpe hii taarifa.
take home ni 650,000/= to 700,000/=
nafasi zimefika tano tafadhali hebu tokeni huko mafichoni.
0753-810857
 
teachers‘ junction;9164429 said:
Hivi humu jf hawa walimu hawapo?.
tunapata walimu wengine.
please kama kuna mtu unamfahamu hata kama anafanyakaz somwhr especialy in a private school plz mpe hii taarifa.
take home ni 650,000/= to 700,000/=
nafasi zimefika tano tafadhali hebu tokeni huko mafichoni.
0753-810857

Yupo mwalimu wa geography/history ana diploma nipo nae hapa...je anafaa?
 
Back
Top Bottom