Hallow Teachers.
· Walimu waliokwenda kufanya interview JK Nyerere mbezi jana
Tunashukuru interview imekwenda vizuri na matokeo yamekuwa mazuri.
Hongereni na mungu awaongoze.
· Na wale science na English waliokwenda kufanya interview Mbagala wanatakiwa kwenda kufanya practical interview siku ya jumaanne ya tarehe 01/07/2014 saa tatu kamili asubuhi.
· Kwa walimu waislam walio tayari kufanya kazi maeneo ya mlandizi na pwani ya kibaha kuanzia wiki ijayo ya 30/06/2014 wanatakiwa kuwa wameshafanya interview hapa Teachers Junction kwa masomo ya science na sanaa.
· Walimu wa masomo ya sanaa na sience walokwishafanyiwa usaili kwenye ofisi za Dar es salaam wanatakiwa kujiandaa na interview kuanzia jumaa tatu ya 30/06/2014. Hivyo kwa matokeo bora tunawashauri waendelee kujiandaa kwani maadalizi bora huzaa matunda bora.
· Kwa walimu wa mikoa ya mbeya,rukwa na iringa jopo la Teachers Junction kuanzia tarehe 07/07/2014 hadi 14/07/2014 tunatarijia kuwa kwenye ofisi zetu za jijini mbeya kwa lengo la kuongea na walimu na wamiliki wa mashule, hivyo ni nafasi nzuri kwa wewe mkazi wa mikoa hiyo kupata kuonana nasi pia tutazindua project mpya hapa nchini ya EDUCATION NETWORKING CENTRE itakayoweza kuwasidia walimu na vijana wengine kujikwamua kiuchumi.
Project hii itafanywa na walimu na vijana wa Mbeya,Rukwa na Iringa chini ya usimamilzi wa Teachers Junction (Mungu atuongoze)
· Usaili kwa ajili ya masomo yote unaendelea kwa mikoa yote,pia unaweza fanya usaili online popote ulipo nchini Tanzania na Nchi jirani hata kama hakuna tawi letu.
Kwa maelezo zaidi:
Teachers Junction Head office:
Magomeni Mapipa Dar es salaam
Near by Mapipa Police post
Phone: +255753-810857
Mbeya Branch:
Near by Mzumbe University.
Phone: +255655-586906
Facebook page:
www.facebook.com/teachersjunction
Blog: www.https://jamii.app/JFUserGuide.blogspot.com
Email:
teachersjunction@hotmail.comHallow Teachers.

teachersjunction@hotmail.com