Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

teachers‘ junction;8994254 said:
1.Mbagala mwisho.
Englisha and Kiswahili.
Nafasi mbili.

wawe ni Graduate
salary not less than 650,000/= to 700,000/=

2.Mbagala mwisho.
History and Geography
Diploma nafasi nne
salary not less than 500,000/=
Graduate nafasi mbili.
salary not less than 650,000/=

3.Kongowe Mbagala.
English and Kiswahili.
Graduate nafasi mbili.
Salary not less than 650,000/=

4.Kongowe mbagala.
Physics and Mathematics
Graduate nafasi mbili
Salary not less than 670,000/=

5.Kongowe mbagala.
physics and Mathematics
Diploma nafasi tatu.
Salary not less than 550,000/=

6.Kinyerezi-Tabata
Awe ni kiswahili na somo lolote.
Awe Diploma au Graduate
Shule ni Primary.
Salary itategemea uwezo na Level ya Elimu.
Nb.
Mwisho wa order zote ni jumaa Pili ya tarehe:- 23,03,2014.
Tafadhali jitahidi ufike siku mbili au moja kabla, kwenye ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa Dar es salaam.
jumaamosi tunafungua saa tatu asubh hadi saa sita mchana.
jumaa pili kwa ahadi maalum ni saa tatu asbh to nane mchana.

0753-810857
Mungu atuongoze kwa kila jambo.

wapige hao njama... Mm nasema wapige tu maana tumechoka...
 
Naomba msaada wenu niwe considered kwa nafasi ya kufundisha naweza Vizuri History na Kiswahili. Ingawa nimesomba ba.ya journalism lakini pia nmesoma pia kiswahili, history na mbinu za ufundishaji hivyo naweza kumudu..nipo dar. nipo tayari anytme. msaada wenu jamani
 
hiv jaman wana jf tusaidiane,hawa jamaa ni wakwel au wanakula hela zetu tu.naamn humu wapo watu walikutana nao tupen feedback jaman.
 
hiv jaman wana jf tusaidiane,hawa jamaa ni wakwel au wanakula hela zetu tu.naamn humu wapo watu walikutana nao tupen feedback jaman.

Pole mkubwa kwa hofu ingawa inaonekana umechelewa kutujua.
watu walishakuja kuprove na wakaleta ushuhuda hapa jamvini.
ila wakati wakikujibu mimi natamani na wewe uwe shuhuda mzuri wa wana jf.
Fanya hvi.
Wewe ni mwalimu?
kama jibu ndiyo.
je katika post tulizotangaza kuna sehemu una fit?
kama jibu ndiyo.
Andaa cv,copiez za vyeti picha tatu.
kama huna pesa ya usajili wewe njoo utailipa baadae.
Kisha njoo magomeni mapipa kabla ya jmoc ili usajiliwe na jpil ufanyiwe interview kisha monday ukafanye interview then jnne watu waone ushuhuda wako hapa jamvini.
Hakikisha unajiamin na unajua vizuri kufundisha.
karibu
 
teachers‘ junction;8546362 said:
Huenda unadhani ni hivyo kwa kuwa Kola wazo Lina thamani yake.
Lakini hakuna ukweli.
Tunakata 8-20%.
Karibu

kwa muda gani au ndo mnakuwa manyonya damu za walimu kila siku?
 
Jamani mi nipo chuo morogoro nachukua Ba Education, nipo semister ya 6 sasa masomo (HIST & KISW), nahitaji shule ya kufundisha hapa hapa moro town. Kwa makubaliano hata ya 250000 kwa mwezi sina matatizo.

Tumieni: 0717743549.
 
1.Physics and Mathematics
Graduate.
700,000/= to 720,000/=

2.English and Kiswahil.
Graduate.
600,000/= to 650,000/=

mwisho jumaapili tarehe
23,03,2014
0753-810857
 
teachers‘ junction;9006327 said:
Deepsea wacha kutumia maneno ya shombo.
nenda kwenye profesional yako.

jibu swali langu au ndo ukweli unaugopa kuwa nyie ni erolink ya walimu?haya bana
 
Nyingine ni:-
Primary School.
Diploma Science.
Diploma with mathematics
Grade A science
Grade A Mathematics
mwisho ni jumaapil 23,03,2014
0753-810857

Shule iko Kimara Mwisho
Salary
not less that 400,000/=
 
teachers‘ junction;9006363 said:
1.Physics and Mathematics
Graduate.
700,000/= to 720,000/=

2.English and Kiswahil.
Graduate.
600,000/= to 650,000/=

mwisho jumaapili tarehe
23,03,2014
0753-810857

Hizi ni za wapi? kama ni dar ni maeneo gani?
 
teachers‘ junction;9003250 said:
Pole mkubwa kwa hofu ingawa inaonekana umechelewa kutujua.
watu walishakuja kuprove na wakaleta ushuhuda hapa jamvini.
ila wakati wakikujibu mimi natamani na wewe uwe shuhuda mzuri wa wana jf.
Fanya hvi.
Wewe ni mwalimu?
kama jibu ndiyo.
je katika post tulizotangaza kuna sehemu una fit?
kama jibu ndiyo.
Andaa cv,copiez za vyeti picha tatu.
kama huna pesa ya usajili wewe njoo utailipa baadae.
Kisha njoo magomeni mapipa kabla ya jmoc ili usajiliwe na jpil ufanyiwe interview kisha monday ukafanye interview then jnne watu waone ushuhuda wako hapa jamvini.
Hakikisha unajiamin na unajua vizuri kufundisha.
karibu

Ndugu yangu bora uwaeleze, mtu unasoma sheria mwisho wa siku unahangaika mpaka kwenye link ambayo haikuhusu.Mimi nawapa big up sana Teachers Junction, kwani mnasaidia sana walimu hapo DSM kwani hata mimi nimefanya utafiti kupitia walimu weng wamenipa feedback juu yenu, kama nilivyokueleza awali mimi mwezi wa saba nitakuwa pande hizo kuanza mchakato.
 
Wakala Wakala Wakala Wakala.
Tunahitaji wakala kwa upande wa kanda ya Ziwa na Morogoro
Sifa za namna ya kuwa wakala tutaziweka hapa leo usiku.
pendelea kutembelea account yetu kila siku.
 
Naomba nifikiliwe jamanii...nina uwezo wa kufundusha history na kiswahili olevel..ingawa nmesoma ba ya journalism..lakini ndani yake nmesomea hayo kama mwandishi ni sehemu ya mwalimu hvyo basi naomba ikionekana kuna nafasi ya masomo hayo nipo tayari nipo dar. namba zangu za simu ni 0757533748, 0718780448, 0682284573...nna nilishawahi kufundisha miezi 8 by the time nmemaliza form six. na elimu ya chuo pia nmesoma kiswahili na history na prinsple of teaching as a subject ukiacha all packege nyngne ya journalism.. npo tayarii
 
Habari wana jf.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kutokana na kuwa na wateja weng kwenye mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Tumedhamiria kufungua tawi mikoa ya mbeya,iringa na Rukwa.
Hivyo tunahitaji mawakala kutoka mikoa hiyo.
Kila mkoa utaundwa na kundi la watu watatu mmoja akiwa ni branch manager.
Sifa za kujiunga:-
*kwenye kila mkoa awepo mwalimu kwenye kila kundi mwenye elimu kuanzia Diploma.
*Awepo mtu mwenye network kubwa na private schools.
*Awepo mtu mwenye ujuzi wa kutumia computer hasa data base na excel.
*wawe na uwezo wa kulipia Pango na Funitures.
*kuwepo na mkazi wa kudumu wa eneo hilo.
*wawe na uwezo mzuri wa lugha ya kiswahil na kingereza.

MAJUKUMU.
*kutembelea shule na kusimamia timu ya mauzo.
*kufanya usajili na usaili wa walimu.
*kuhudhuria vikao vyote vikao vyote vya teachers' junction.

NB.
*Members watatakiwa kulipa kila mmoja Tsh 50,000/=
*Members wawe wameshamteua kiongoz wao.
*Wote wawe tayari kukutana na uongozi wa Teachers Junction.
Ambao utakuwa mbeya mjini kuanzia 25.03.2014 hadi 29.03.2014.
Thibitisha utayari wako kwa kutuma jina,umri,Elimu,Profesional yako na Mahali unapoishi.
Kwa maelezo zaidi.
0753-810857
 
Niko dar, nataka kufundisha somo la Economics kwenye shule yoyote parttime.Thanks
 
Niko dar, nataka kufundisha somo la Economics kwenye shule yoyote parttime.Thanks contact 0713196055

Kijana kwa sasa masomo hayo partime hatuna,kama unaweza kuja kujisajili usubiri au usubiria baada ya wiki mbili tatu tupigie kuuliza.
 
jamani mbona mnatangaza ajira kwa masomo hayo tu,hata mimi natafuta kazi niko bado chuo Dar es salaam ila naweza kufanya kazi,kwa maani niko semista ya mwisho,masomo yangu ya kufundishia ni Geography/ECONOMICS, nisaidieni.my no. 0759160780
 
Back
Top Bottom