Teachers‘ Junction

Teachers‘ Junction

mi naskitka humu teachers junction nlwasliana na mr Njama kuhsu ualmu nkatuma passport na pesa tangu mwaka jana mpk leo.
 
mi naskitka humu teachers junction nlwasliana na mr Njama kuhsu ualmu nkatuma passport na pesa tangu mwaka jana mpk leo.

Wacha kuogea vitu havina logic.
walimu wote wamehudhuria interview unless hukupatikana au unataka kulipwa milioni wakt uwezo wk wa laki mbili so wacha kudisapoint wengne.

ok.
walimu walokwenda mbezi kibanda cha mkaa majibu ni kesho but wanadai ilikuwa poa.

ingawa bado wanauhitaji wa diploma mwenye kufundisha English jamaa tulompangia amepata dharura.
naomba wana jf tuache kuropoka tuwe seriouz.
hii ni network for Teacherz so if u thnk huhusiki kaa kando.
kuliko kudisapoint wengine.
+255-753810857.
 
Bagamoyo
Diploma in Science subjects
Diploma in Social Studiez
Diploma in any and mathematics.
Diploma in any and English.

kipaumbele ni kwa waliosoma Education.

Salary:-
450,000/= mpaka 500,000/=
unatakiwa kuka karibu na shule.
Shule iko bagamoyo mjini.
mwisho wa order ni jumaa tatu.
so a day before.
Nb.
kwa Degree mwenye yuko tayar kufanya kwa salari hyo karibu.
form six leaver kama uko vizuri karibu.
%
Teachers Junction
Magomeni mMapipa
Dar es salaam
0753-810857.
 
Bagamoyo
Diploma in Science subjects
Diploma in Social Studiez
Diploma in any and mathematics.
Diploma in any and English.

kipaumbele ni kwa waliosoma Education.

Salary:-
450,000/= mpaka 500,000/=
unatakiwa kuka karibu na shule.
Shule iko bagamoyo mjini.
mwisho wa order ni jumaa tatu.
so a day before.
Nb.
kwa Degree mwenye yuko tayar kufanya kwa salari hyo karibu.
form six leaver kama uko vizuri karibu.
%
Teachers Junction
Magomeni mMapipa
Dar es salaam
0753-810857.
mishahara kiduchu bora walimu wetu wabaki serikalini ambako kna job security.
 
teachers‘ junction;8823210 said:
Bagamoyo
Diploma in Science subjects
Diploma in Social Studiez
Diploma in any and mathematics.
Diploma in any and English.

kipaumbele ni kwa waliosoma Education.

Salary:-
450,000/= mpaka 500,000/=
unatakiwa kuka karibu na shule.
Shule iko bagamoyo mjini.
mwisho wa order ni jumaa tatu.
so a day before.
Nb.
kwa Degree mwenye yuko tayar kufanya kwa salari hyo karibu.
form six leaver kama uko vizuri karibu.
%
Teachers Junction
Magomeni mMapipa
Dar es salaam
0753-810857.

tuliopo mkoani na tunahitaji hizo nafasi tufanyeje?.
 
Natafuta ajira ya kufundisha jaman
Mm ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam mwaka wa tatu.
Nasoma BSc.aquatic envrnmental sc and conservation.
Nina uzoefu wa kufundisha biology na chemistry kwa shule za o'level.
 
Natafuta ajira ya kufundisha jaman
Mm ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam mwaka wa tatu.
Nasoma BSc.aquatic envrnmental sc and conservation.
Nina uzoefu wa kufundisha biology na chemistry kwa shule za o'level. Simu yangu 0682 814 032 au 0758 777 552.
 
Natafuta ajira ya kufundisha jaman
Mm ni mwanafunz wa chuo kikuu cha dar es salaam mwaka wa tatu.
Nasoma BSc.aquatic envrnmental sc and conservation.
Nina uzoefu wa kufundisha biology na chemistry kwa shule za o'level. Simu yangu 0682 814 032 au 0758 777 552.
 
Iyooo imekaa vizuri nasubilia awamu nyingine niweze apply mana nafundisha English na history
 
Walimu wa Nursery..
shule ziko tabata sanene na kinyerezi.
Tabata Sanene
offer.
200,000/= chakula cha asubuh na mchana.

Kinyerezi.
offer ni 210,000/= to 250,000/=
na chakula cha asubh na mchana
mwisho ni 11/03/2014.
0753810857.
Nb.
kwa walotakiwa kwenda kufanya interview Reminat Tabata interview imeghairishwa kutoka na msiba wa staff member hvy mpaka tutakapo wapa taarifa.
 
Habari wana jf.
kwa wale wanaokwenda interview Tabata kesho.
we wish you all the best.
interview na mazingira yake yote yako vizuri.
mungu awaongoze.
 
Habari wana jf.
Barchelor of Art with Education.
wanahitajika kwenye shule mbili tofauti.
1. English and Kiswahili
Nafasi tatu.
Awe anauwezo wa kufundisha Advance.
Awe na uzoefu usiopungua miez 6 out of TP.

Shule iko Mbagala.
Salary offered.
Not less than 600,000/=

Nyingine ni:-
English and Kiswahili nafasi 3.
Awe amewahi kufundisha at least mwaka kwa shule binafsi.
Awe na uwezo wa kufundisha Olevel.
Asiwe muislam wala Msabato.
Awe tayari kufanya kaz shule ya kidini.
Shule iko Kongowe.
Offer
Not less than 650,000/=

Mwisho wa offer zote ni jumaa nne
tarehe 18,03,2014.
unashauriwa ufike ofcn kwetu siku 2 kabla.
Teachers‘ Junction
Magomeni Mapipa
Dar es salaam.
+255-753810857
 
Habari wana jf.
order nyingine ni Form Six.
Anaweza kuwa ameishia form six au amesomea kozi nyingn ila awe tayar kuhesabiwa kama form six.

awe amesoma combination yenye Mathematics and Science.
i mean Pcm au Cbg.
awe na uwezo wa kufundisha primary international School au English Medium.
Shule inahitaji walimu Watatu.
Shule iko mbagala.
Offer yao ni 400,000/= to 450,000/=
Wahi ofcn kwetu magomen mapipa mapema.
mwisho wa order ni 18th,03,2014,
Andaa Cv,Pasport size tatu,Copy za vyeti na 10,000/=Tsh.
0753-810857
 
teachers‘ junction;8546629 said:
Walimu wa Diploma science name arts kwa Ajili Yale bagamoyo shule Ya primary
450,000/ to 550,000/

Walimu wa awali (nursery)
Tegeta
200,000/ to 300,000/

Form six alosoma physics na math
+255-75381858
Mwisho tarehe 01/02/2014

biology,chemistry na geography........contacts me 0752947177
 
1.Mbagala mwisho.
Englisha and Kiswahili.
Nafasi mbili.

wawe ni Graduate
salary not less than 650,000/= to 700,000/=

2.Mbagala mwisho.
History and Geography
Diploma nafasi nne
salary not less than 500,000/=
Graduate nafasi mbili.
salary not less than 650,000/=

3.Kongowe Mbagala.
English and Kiswahili.
Graduate nafasi mbili.
Salary not less than 650,000/=

4.Kongowe mbagala.
Physics and Mathematics
Graduate nafasi mbili
Salary not less than 670,000/=

5.Kongowe mbagala.
physics and Mathematics
Diploma nafasi tatu.
Salary not less than 550,000/=

6.Kinyerezi-Tabata
Awe ni kiswahili na somo lolote.
Awe Diploma au Graduate
Shule ni Primary.
Salary itategemea uwezo na Level ya Elimu.
Nb.
Mwisho wa order zote ni jumaa Pili ya tarehe:- 23,03,2014.
Tafadhali jitahidi ufike siku mbili au moja kabla, kwenye ofisi zetu zilizopo Magomeni Mapipa Dar es salaam.
jumaamosi tunafungua saa tatu asubh hadi saa sita mchana.
jumaa pili kwa ahadi maalum ni saa tatu asbh to nane mchana.

0753-810857
Mungu atuongoze kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom