sea emperor
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 250
- 116
Hivi nikijiita kinyesi nani atakataa kama TCRS ndiyo wamepewa jukumu la kubatiza watu majina watuweke wazi.
Mkuu unaipinga tcra na serikali [emoji13]?Ndio tabu ya kufanya maamuzi kwa mwendo kasi.!
Hapo sawa. Nilifikiri mwendokasi ndio umeshika kasiNionavyo ukifanya hivyo ndio tatizo lakini ukijitungia jina tu sidhani kama ni tatizo na nakumbuka kuna siku mr mungi aliwahi kulizungumza hili
WATAKUWA WANAMWONEA WIVU YERIKO NYERERE BAADA YA KUTUAMBIA JPM NI CHAGUO LA MUNGU HALAFU WANAONA HAKUNA ANAEJIBATIZA YERIKO MAGUFULIJina feki ndio lipi jamani? Yaani kwa mfano mimi nijiite Edward Lowassa?
Kama unaunga mkono hoja basi weka picha zao hapawangeanza na wanajamii forums... yaani humu ndiyo wamejaaa sana
Muuza suraMimi nilijua mapema nikajiverfy igeni kwangu
Mtu mwenyewe ana post 20 tu huyoMapema toka lini? Yaani umejiunga lini na ulijua lini?