Lengo lao ni kuingilia tu faragha za watu, just to silence the mass. Kuna kila dalili uhuru wa habari unachimbiwa kaburi.Unajua hii nchi watu wanatumia nguvu kubwa sana kupambana na vitu vya kijinga sana..
Sasa kama mtu anatumia utambulisho fake na wala hajihusishi na vitendo vya kitapeli au kuvunja sheria unahangaika naye wa nini??
Kweli kabisa kiongozi,tupo wengiMmeshindwa tu kuyasimamia Makampuni ya simu kwenye usajili wa line tu, ije kwenye mitandao? Facebook wenyewe wameshindwa hayo Ndio maana kuna account fake, sasa tuambieni Sheria ya JF inaruhusu watu kutumia majina fake, nyinyi mmasema ni kosa kisheria, ina maana mnampango Jf ikate roho?
Siku mkianza kukamata fake account basi ndio itakuwa mwisho wangu kutumia mitandao