Mnataka muifanye nchi kama shule ya msingi ?! Kutofautiana mawazo ni afya kwa Taifa letu bila kujali nani anakosolewaMhe. Mwigulu Lameck Nchemba, salaam!
Ninasikitika kuona kila uchao pamoja na marekebisho ya sheria za mitandao ya mwaka 2015 lakini bado watoaji maoni wengi wanatumia lugha za matusi, kukashifu na kufanya njama za wazi za kuitukana serikali.
Kuficha majina yao halisi wakati wakichangia kwenye mitandao ya kijamii ni ishara tosha kuwa malengo yao si mazuri na hivyo hutumia muda mwingi kutengeneza chuki kwa watu dhidi ya serikali. Kutokana na hali hii mie nashauri mamlaka yako bila kuogopa kulaumiwa na makundi korofi kama haya ichukuwe hatua za makusudi kudhibiti WAHAINI hawa.
Nafahamu kuwa hii ni kazi kubwa kwako lkn ukiishirikisha vizuri TCRA utafanikiwa na nchi yetu inaendelea kuwa mahali salama. Nahitaji kuona watanzania wakifanya siasa zisizowapaka wengine matope wala kuwaweka uchi. TUKIYAACHA MAKUNDI HAYA NI HATATRI KWA USTAWI WA TAIFA LETU.
Vita hii pia iwe jumuishi kwa maana ya kutengeneza mazingira shirikishi ya kupata taarifa za uhalifu mitandaoni toka wadau mbalimbali.
Msakila KABENDE
POLITICAL ACTIVIST
MUNGU AKUBARIKI SANA
Teuzi mbalimbali kama zimeisha vile.Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba, salaam!

Pesa ya viwanda na kuhamia Dodoma yote amepewa lipumba na bado haitoshi kwa sababu kabla ya kumfikia hupigwa panga na Madalali wa siasa yaani 10% ni nyingi kupindukia kwani kwa sasa baada ya Safari za nje kuzuiwa Mladi uliosalia ni kudhoofisha Ukawa tu, Mladi huu wapo tayari hata kuacha kununua Dawa za wagonjwa lakini lipumba apewe pesa na msaada mpaka ateketezea Ukawa kabsa.Ngoja wamalize mission kwa CUF kupitia Prof anayelala ofisi ya chama then watakuja kuchukua na kufanyia kazi maoni yako. But let me remind you kuwa siasa za maji taka, matusi na hila za hovyo ndiyo huiweka CCM madarakani. Kwa taifa fukara lenye idadi kubwa ya 'wajinga' ambalo lilifika kipindi likamchagua rais wa nchi kwa kigezo cha uzuri wa sura na tabasamu out of other vigezo unadhani litaishi bila siasa za hovyo!!!
Hivi watumishi wamewekewa increments zao kweli?Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba, salaam!
Ninasikitika kuona kila uchao pamoja na marekebisho ya sheria za mitandao ya mwaka 2015 lakini bado watoaji maoni wengi wanatumia lugha za matusi, kukashifu na kufanya njama za wazi za kuitukana serikali.
Kuficha majina yao halisi wakati wakichangia kwenye mitandao ya kijamii ni ishara tosha kuwa malengo yao si mazuri na hivyo hutumia muda mwingi kutengeneza chuki kwa watu dhidi ya serikali. Kutokana na hali hii mie nashauri mamlaka yako bila kuogopa kulaumiwa na makundi korofi kama haya ichukuwe hatua za makusudi kudhibiti WAHAINI hawa.
Nafahamu kuwa hii ni kazi kubwa kwako lkn ukiishirikisha vizuri TCRA utafanikiwa na nchi yetu inaendelea kuwa mahali salama. Nahitaji kuona watanzania wakifanya siasa zisizowapaka wengine matope wala kuwaweka uchi. TUKIYAACHA MAKUNDI HAYA NI HATATRI KWA USTAWI WA TAIFA LETU.
Vita hii pia iwe jumuishi kwa maana ya kutengeneza mazingira shirikishi ya kupata taarifa za uhalifu mitandaoni toka wadau mbalimbali.
Msakila KABENDE
POLITICAL ACTIVIST
MUNGU AKUBARIKI SANA
mkuu kama umeona jema sifia tu,kuwa huruKimsingi mie sipingi mtu kushauri, kukosoa na kuchangia maoni binafsi isipokuwa naona hulka ya kuficha majina inaenda sambamba na kujenga tabia ya kutoa matusi.
Suala lingine inakuwa vipi siku zote 365 humu Jf kuwa sehemu ya kukosoa bila hata kuona kuwa kuna vitu vingine serikali imefanikiwa?
Haaaaa! kwanin mkuu?'Ningefurahi malaika angeshuka juu mbinguni afunge mitandao ya kijamii'
Hakuna account fake hapa. Sema watu wanatumia nicknames ambayo kisheria ni sawa.Sasa wenye akaunti fake si ndio tumejaa hapa! Au sijaelewa!
Haaaaa! kwanin mkuu?
sidhani kama hili ni jambo lenye umuhimu mkubwa kiasi hicho.. anyway time will tellMAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano hapa Nchini (TCRA) imewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaojisajili katika mitandao hiyo kwa kutumia majina na taarifa za uongo, anaandika Charles William.
James Kilaba Kaimu Mkurugenzi wa TCRA amesema, vitendo vya watu kujisajili katika mitandao ya kijamii kwa kutumia majina na taarifa zisizo sahihi, ni kosa kisheria na kwamba wanaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Kilaba ameyasema hayo leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ambayo inasimamiwa na Kitengo cha dharura cha kuitikia matukio ya usalama kwenye mitandao hapa nchini (TZ-CERT).
“Tumeamua kuzindua kampeni hii ili kuwasaidia wananchi kuepuka makosa ya kimtandao na kuepuka kufanyiwa utapeli au wizi mitandaoni kwa sababu matukio mengi ambayo yamekuwa yakiripotiwa au kulalamikiwa yanazuilika kwa watu kupewa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao,” amesema Kilaba.
Kampeni hiyo ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao, itafanyika kupitia matangazo ya redio, televisheni, magazeti pamoja na mitandao ya kijamii ambapo katika mitandao ya kijamii itajulikana kama, “Darasa mtandao”.
“Miongoni mwa mambo ambayo tutawafundisha wananchi ni kutoweka wazi taarifa zao binafsi zote katika mitandao, kubadili na kutunza neon la siri (password), kutojibu ujumbe unaosema umeshinda bahati nasibu na mengineyo mengi,” amesisitiza Kilaba.