TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

Kwa hiyo hawa TCRA wanaona hili la akaunti feki tu ILA hili la makampuni ya simu na mabenki kunyonya raia kwa kuwapandishia gharama za vifurushi vya internet na nk hawalioni.Shame on you.
 
Nilisoma mahali ila siyo humu hii Serikali dhalimu ikiitaka JF itoe details kuhusu baadhi ya wachangiaji. Sijui ni details za aina gani na yeye kuonyesha kwamba hayuko tayari kufanya hivyo ili kulinda free speech ya Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, dini, rangi au kabila. Na alikuwa tayari amekutana na wanasheria wa kuitetea JF kupinga vitisho vya hii Serikali dhalimu.

Yap nakumbuka hiyo issue.

Lakini hiyo ilikuwa wkati ule tulipokuwa tukipewa vitu vya uhakika kutoka kwa reliable sources kupitia akina Invicibles.

Hivyo ile trend ya data ilikuwa ikitishia Amani huko majikoni.

Lakini sasa hivi mkulu amezuia hiyo kitu, ndiyo maana Cyber Crime Act ikaletwa.

Lakini kwa ujumla watu wanatakiwa kuwa waangalifu na kile wakisemacho na madhali kitakuwa ndani ya wigo wa uhuru wa maoni na haki ya kikatiba, sidhani kama mtu ataathirika.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msituzingue na mkitaka mzifunge ila suala la jina halisi la mtu nyinyi mnajuaje ili mradi mtu havunji sheria tatueni kero zetu acheni kufuatilia vitu kama ivo
Tatizo ni dikteta mwenge uwezo mdogo chini ya kiwango
 
TCRA wako makini kukamata wanaomtukana mkuu wa kaya tu,lakini mambo ya muhimu yanayogusa jamii wanakaa kimya kama "toothless dog"
 
Mmeshindwa tu kuyasimamia Makampuni ya simu kwenye usajili wa line tu, ije kwenye mitandao? Facebook wenyewe wameshindwa hayo Ndio maana kuna account fake, sasa tuambieni Sheria ya JF inaruhusu watu kutumia majina fake, nyinyi mmasema ni kosa kisheria, ina maana mnampango Jf ikate roho?
Siku mkianza kukamata fake account basi ndio itakuwa mwisho wangu kutumia mitandao
Huyo aliyeyasema hayo sidhani kama anataaluma ya ICT. Ajifunze sheria ya privacy inasemaje. Kila mtandao una privacy policies zake, ambazo kama mteja wao aliyekubali kucomply na policies hizo anahaki zote za kutumia huduma zinazotolewa na mtandao husika. TCRA kusema watachukulia sheria watu hao ambao hawaja violate privacy policies za mtando husika sijui wao hizo hatua wanawachukulia kwa grounds zipi?
 
Hiyo mipaka ndiyo mgogoro Mkuu, wakati wao wakitukana Watanzania kwa kuwaita vil.aza. Wa.pumbav.u na Malofa lakini yeye akiitwa dikteta uchwara anang'aka. Ni kipengele kipi kwenye katiba kinachowapa wao haki ya kuwatukana Watanzania lakini wao wasitukanwe!?

Respect is always a two way traffic Mkuu.

Yap nakumbuka hiyo issue.

Lakini hiyo ilikuwa wkati ule tulipokuwa tukipewa vitu vya uhakika kutoka kwa reliable sources kupitia akina Invicibles.

Hivyo ile trend ya data ilikuwa ikitishia Amani huko majikoni.

Lakini sasa hivi mkulu amezuia hiyo kitu, ndiyo maana Cyber Crime Act ikaletwa.

Lakini kwa ujumla watu wanatakiwa kuwa waangalifu na kile wakisemacho na madhali kitakuwa ndani ya wigo wa uhuru wa maoni na haki ya kikatiba, sidhani kama mtu ataathirika.
 
Utapeli na wizi tokea lini mkawa na ukarimu huo ? Sema mnataka muwadake kama kuku wanapotoa maoni yao ,
 
Kuna koo zinaitwa
Sabuni
Kiberiti
Kisu
Mbao
Mkate
Miti
Kufuli
Je hao nao watalazimika kubadili majina wawe
John
Mathias
Abdwallah
Said
Kwa lengo la kuwafurahisha vingunge tu! Kwakweli Tanzania sasa kila mtu anataka kuonekana anafanya kazi bila kupima anachokifanya
 
Unajua hii nchi watu wanatumia nguvu kubwa sana kupambana na vitu vya kijinga sana..

Sasa kama mtu anatumia utambulisho fake na wala hajihusishi na vitendo vya kitapeli au kuvunja sheria unahangaika naye wa nini??
Kwa mawazo yangu: kuvaa identity ya mtu eg kufungua account kwa kutumia jina la mtu eg Edward Lowassa (huku sio wewe) na kupost huku ukiwaaminisha watu ndiye yeye hapo linakuwa kosa. Lakini kutumia nick names eg ''kiroboto mtoboa siri'' sio kosa.
 
Kuna koo zinaitwa
Sabuni
Kiberiti
Kisu
Mbao
Mkate
Miti
Kufuli
Je hao nao watalazimika kubadili majina wawe
John
Mathias
Abdwallah
Said
Kwa lengo la kuwafurahisha vingunge tu! Kwakweli Tanzania sasa kila mtu anataka kuonekana anafanya kazi bila kupima anachokifanya
 
Kuna koo zinaitwa
Sabuni
Kiberiti
Kisu
Mbao
Mkate
Miti
Kufuli
Je hao nao watalazimika kubadili majina wawe
John
Mathias
Abdwallah
Said
Kwa lengo la kuwafurahisha vingunge tu! Kwakweli Tanzania sasa kila mtu anataka kuonekana anafanya kazi bila kupima anachokifanya
 
nina hakika 100%,wakurugenzi na wafanyakazi wa TCRA waliojiunga JF, wanatumia majina bandia.
 
Mimi ninavyojua mimi sheria ya mitandao inakataza kutumia jina la mtu mwingine, ila siyo kosa kutumia nickname. Yawezekana hata huyu aliyesema haya hajaisoma hii sheria na kuielewa.
 
Back
Top Bottom