TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

Kwani kuna ukomo wa majina? Basi watoe Majina elekezi maana kuna wengine wana majina mpaka 7
 
Hawaoni mitandao ya simu inavyotunyonya? Au hawahusiki na reguration ya hii mitandao ya simu? Visimbuzi je? Mbona huko hawasemi chochote? Only in TZ
 
Dikteta uchwara na Serikali dhalimu katika ubora wao. Baada ya kushindwa kupambana na wamiliki wa Jamii Forums sasa wanataka kutishia wanachama wa JF na mitandao mingine nchini ili kutunyima uhuru wa kumjadili huyu dikteta uchwara na Serikali dhalimu. Watu wametumia majina bandia hapa JF kwa zaidi ya miaka kumi bila athari yoyote ile ndani ya nchi yetu, sijui huyu uchwara kipi kinachomuogopesha.
 
Nipo hapa mkuu nakupatapata.

Yaani kumbe kuna mpambano "behind the scenes" kati ya Max na hawa jamaa?

Kwa kweli kwa uzoefu wangu wa miaka 10 nipo hapa nimeona mengi sana.

TCRA iiache JF bana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi a.k.a nalo ni jina fake?....Sasa hapa mpaka JPM itamgusa,maana kuna sehemu anajiita "Tinga Tinga",na vijana wa Lumumba wamefungua account yenye hiyo a.k.a!!
Basi hata Majina ya kitaa tutakatazwa kuitana
TCRA pambaneni na makampuni ya simu wanatudhulumu bundle zetu,na hata visambuzi mlituambia local chennels tutapata bureeeee,lkn mpaka sasa hakuna,na nyie mpo tu halafu mnajiita "Regulatory Authority".Sasa mna-regulate nini?
 
Kuna maneno yamezoeleka kuhalalisha hoja. Eti ni kosa kisheria, ukimuuliza kutaja kifungu ananuna.
Ndo maana wanakimbilia matamko ili mkuu awasikie ila angeshtuka akawataka watekeleze matamko kisheria ndo angepata vichwa vya kutumbua.
 
Mmarekani ameshindwa itakuwa nyie vilaza? Hebu acheni maigizo!
 
Aloo kazi ipo waje basi huku tuone kama hawajatoka mbio wenyewe bila kufukuzwa
 
HUKO ni sawa na kutaka kufunua fuvu la kichwa cha mtu na kuona ubongo unawaza nini.
 
Hivi nikijiita cristiano ronaldo alafu naandika kwa kiswahili nakuwa nimekudanganya....au inafahamika. Je wanani
zuiaje nisitumie nick name yangu?
 
Nilisoma mahali ila siyo humu hii Serikali dhalimu ikiitaka JF itoe details kuhusu baadhi ya wachangiaji. Sijui ni details za aina gani na yeye kuonyesha kwamba hayuko tayari kufanya hivyo ili kulinda free speech ya Watanzania wote bila kujali itikadi zetu, dini, rangi au kabila. Na alikuwa tayari amekutana na wanasheria wa kuitetea JF kupinga vitisho vya hii Serikali dhalimu.

Nipo hapa mkuu nakupatapata.

Yaani kumbe kuna mpambano "behind the scenes" kati ya Max na hawa jamaa?

Kwa kweli kwa uzoefu wangu wa miaka 10 nipo hapa nimeona mengi sana.

TCRA iiache JF bana.
 
Huyo Kilaba mwenyewe yumo kwa account feki. Kikwete mwenyewe aliwahi kukiri kuwa yumo humu na huwa anafuatilia ila watu hawajui kuwa ni yeye...
 
Back
Top Bottom