Huyu ni mtu ambaye hata LinkedIn profile hana, technology ilishampita mbali, hawezi kuzuia anonymity hata siku moja kwa kua sio kosa, wameandika wapi kua ni kosa kutumia nickname? Kosa kisheria, sheria ipi?
Wafukuze hawa wazee waweke vijana walio in their 20s au 30s kuendesha hili gurudumu, hawa waliopo wamejaza vyeti tu ila hawana experience yoyote kwenye real industry, miaka yote wamekaa wanafanya kazi ya kuregulate watu tu pamoja na degree zao za science.
Hivi TCRA nzima wamekosa kazi za kufanya? waje JF waombe msaada tutawasaidia kuwaonyesha wapi wapafanyie kazi, ndio kwanza hata internet Tanzania ni ya misukosuko tayari wanaanza kuweka limitations za kijinga, mara mia wangepoteza muda kublock website za ngono, kuzuia freedom of speech hapa tutafukuzana, wakifunga JF nyingine tutafungua ndani ya wiki moja tu ambayo ina complete anonymity. Hawa watu utasema marobot