TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

TCRA: Wenye akaunti ‘feki’ kukiona

"THOU SHALT NOT UNMASK AN EGWUGWU!" ....................UMUOFIA
aa77b2030671c70b5da53c2a87b6e357.jpg
 
Haya mambo ya kukurupuka haya

Halafu JamiiMedia imefungua kesi mahakamani kuhusu hili.Sasa TCRA wanajadili jambo lililopo mahakamani?
 
jina halisi la nn bhana, jina ninalojiita ndo hilohilo halisi, siwez kueka majina ya darasani umu.
 
jina halisi la nn bhana, jina ninalojiita ndo hilohilo halisi, siwez kueka majina ya darasani umu.
YAANI KAMA MIMI JINA LANGU NI MABAKULI LINATOFAUTI GANI NA JINA LA MAGUFULI LABDA UKISIKIA MABAKULI AMEKUJA MNAHISI AMEKUJA KUKOMBA MBOGA KAMA MIE NINAVYOSIKIA MAGUFULI NINAVYOHISI ANAKUJA KUFUNGA MLANGO WA JIKONI
 
Nimesoma comments za watu mbalimbali hapa... majority wanakejeli kauli hiyo ya TCRA! Kwamba, ikiwa wameshindwa hili au lile; ndo wataweza issue ya Fake IDs!!!

Guys, hiyo taarifa sio mzuri hata kidogo! Ni mtandao gani hapa ambao ni maarufu kwa Fake IDs? Hiyo ni Red Flag kwa Jamii Forums! nyuma ya hiyo kauli inalengwa Jamii Forums! Andaeni vyeti vyenu vya kuzaliwa ili ku-verify ID zenu hapa JF! Naona kuna kitu mbele kinakuja... hiyo kauli imeongelewa kirahisi rahisi sana ili kuwaandaa watu kisaikolojia! Kitakachofuata, ni kuwataka moderators wa social networks zote (ndivyo watakavyosema) ku-verify User ID za Members wao! Sioni tafsiri yoyote ya haya kama si kutaka kunyamazisha JF community!
 
Hii nchi imefikia mahali msomi akisema kitu huwezi kumtofautisha na darasa la saba!
WASOMI WENYEWE NDO HAO WENYE DOCTORATE ZA BUNSEN BURNER UNATEMEA UTAPATA NINI MSOMI HUYO AKISIMAMA AJIELEZE MBELE YA WATU WENYE AKILI TU YA KUTENGENEZA MAKOBASI KWA KUTUMIA TAIRI MBOVU BAADA YA KUONA WATU HAWANA VIATU
 
MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano hapa Nchini (TCRA) imewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaojisajili katika mitandao hiyo kwa kutumia majina na taarifa za uongo, anaandika Charles William.

James Kilaba Kaimu Mkurugenzi wa TCRA amesema, vitendo vya watu kujisajili katika mitandao ya kijamii kwa kutumia majina na taarifa zisizo sahihi, ni kosa kisheria na kwamba wanaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.

Kilaba ameyasema hayo leo, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ambayo inasimamiwa na Kitengo cha dharura cha kuitikia matukio ya usalama kwenye mitandao hapa nchini (TZ-CERT).

“Tumeamua kuzindua kampeni hii ili kuwasaidia wananchi kuepuka makosa ya kimtandao na kuepuka kufanyiwa utapeli au wizi mitandaoni kwa sababu matukio mengi ambayo yamekuwa yakiripotiwa au kulalamikiwa yanazuilika kwa watu kupewa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao,” amesema Kilaba.

Kampeni hiyo ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao, itafanyika kupitia matangazo ya redio, televisheni, magazeti pamoja na mitandao ya kijamii ambapo katika mitandao ya kijamii itajulikana kama, “Darasa mtandao”.

“Miongoni mwa mambo ambayo tutawafundisha wananchi ni kutoweka wazi taarifa zao binafsi zote katika mitandao, kubadili na kutunza neon la siri (password), kutojibu ujumbe unaosema umeshinda bahati nasibu na mengineyo mengi,” amesisitiza Kilaba.
naona wanaota kweupe mchana wa jua la saa sita,mpango wao hautafanikiwa
 
Nimesoma comments za watu mbalimbali hapa... majority wanakejeli kauli hiyo ya TCRA! Kwamba, ikiwa wameshindwa hili au lile; ndo wataweza issue ya Fake IDs!!!

Guys, hiyo taarifa sio mzuri hata kidogo! Ni mtandao gani hapa ambao ni maarufu kwa Fake IDs? Hiyo ni Red Flag kwa Jamii Forums! nyuma ya hiyo kauli inalengwa Jamii Forums! Andaeni vyeti vyenu vya kuzaliwa ili ku-verify ID zenu hapa JF! Naona kuna kitu mbele kinakuja... hiyo kauli imeongelewa kirahisi rahisi sana ili kuwaandaa watu kisaikolojia! Kitakachofuata, ni kuwataka moderators wa social networks zote (ndivyo watakavyosema) ku-verify User ID za Members wao! Sioni tafsiri yoyote ya haya kama si kutaka kunyamazisha JF community!

Mkuu Maxence Melo, andaa bajeti ya kutosha kuajiri Accounts Verifying Officers! Trust me, jumba bovu hilo mnataka kudondoshewa!
Jamii forums labda wataiweza je Facebook, Instagram na nyingine ambazo haziendeshwi na watu wa ndani?
 
Jamii forums labda wataiweza je Facebook, Instagram na nyingine ambazo haziendeshwi na watu wa ndani?
Zungumza mitandao mingine lakini sio JF! Labda sema wakibana JF watu watatumia FB, Instagram na kwingineko lakini kumbuka kwamba, JF inayokutanisha members wote kiwepesi! You don't have to follow anyone!

Tukija swali JF wataiwezaje... tuombee isiwe ndio nia yao kv ni very simple! Wanapewa miezi mitatu (au yoyote ile) ya ku-verify members wao or else, TCRA wanaagiza all unverified accounts kuwa deleted au mtandao kufungiwa!
 
TCRA wanajua uhuru wa kujieleza umeminywa katika awamu hii ya tano alafu wanataka akaunti feki ziishe!
Duh
 
Back
Top Bottom