- Thread starter
- #21
Ndo hapo sasaHawa TCRA wamekua wasanii wasanii tu mimi mpaka leo sijasajili na bado nipo hewani kama kawa (hawajafunga) dogo walimfungia line zake baada ya muda akaziweka hewani zinapiga kazi kama kawaida (kuweka vocha kupiga simu na kujibu msg vyote vinafanyika)
kimsingi naweza kusema ni wazee wa kuzua taharuki tu ili wapate kiki hamna kazi wanafanya kama tu wameshidwa kuwathibiti wale wazee wa "ile hela tuma kwenye namba hii" sasa wataweza nini?
Sent using Jamii Forums mobile app