Nyuma ya Pazia juu kutenguliwa katika uteuzi wa Naibu Waziri Atupele na Katibu Mkuu Migire wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya uchukuzi

chakutu

Member
Feb 23, 2018
58
34
Je kutenguliwa katika uteuzi wa Naibu Waziri Bw. Atupele F. Mwakibete na Katibu Mkuu Bwa. Migire wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya uchukuzi kuna nini nyuma ya pazia ilhali Waziri Makame na Naibu Katibu Mkuu wake Dkt. Possi wakiwa bado kwenye nafasi zao katika Wizara mpya ya Uchukuzi?
 
kwani haujui Pro. KAME BOY atakuwa kaenda kuwachonjea kwa Dada yake Maeneo ya ChamwinoMagogoni kuwa Bw. Atupe F. Mwakib na Katibu Mkuu tokea tumuingize mkenge katika kusign dudu la DPDunia kutokana na uleimani wake wa kutojua sheria wao wamekuwa hawatetei Dudu baya la DPDunia, wao wapo kimya tu tokea sakata hili lianze, hawataki kumtetea DPDunia. Maana muda wote Pro. KAME BOY, Dkt Possie, Johary na yule Mwanasheria Bonge wa Wizara walikuwa Bize kumtetea DPDunia
 
Je kutenguliwa katika uteuzi wa Naibu Waziri Bw. Atupele F. Mwakibete na Katibu Mkuu Bwa. Migire wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi-Sekta ya uchukuzi kuna nini nyuma ya pazia ilhali Waziri Makame na Naibu Katibu Mkuu wake Dkt. Possi wakiwa bado kwenye nafasi zao katika Wizara mpya ya Uchukuzi?
Kamuulize Rais
 
Back
Top Bottom