Inaelekea wewe unajua mahali rushwa inapopatikana bila kukamatwa!!!Baada ya ila kazi nzuri iliyoifanya kwa traffic, alipaswa kushauri kuwa mwangalifu zaidi maana ni target.
Kwa waandishi makini, ziko kona nyingi za kubabatiza milioni 10.
Alipokea rushwa ili afanye au asifanye nini? Tuwekeni wazi kwa hili pls!
kuwa na bastola si kosa kisheria, ikiwa tu imepatikana kwa njia sahihi kwasababu hata mimi ninayo nanina lipia kila fee kwa kila mwaka.Nguvumali hapo kwenye Blue wanadai Muro alikubaliana na huyo jamaa aliyemtaka rushwa kuwa wakutane hotel ya City garden mjini muda wa saa nne na yule jamaa aliwatip police nao wakafika na kumtia mbaroni Jerry- kinachonishangaza ni kuwa wanadai walipompekuwa wamemkuta na bastola iliyokuwa na risasi na kwenye gari lake walikuta pingu za police ambazo mdai alidai kuwa Jerry alimfunga pingu kabla hajampa hizo pesa- jamani something is fishy in this story- au Jerry amekuwa jambazi la kutembea na bastola au police mwenye bastola na pingu? Amevitoa wapi ah hawa wanataka tu kumchafulia
Nitaafurahi ya JF bila kubeza wakanisaidia majawabu ya maswali haya juu ya kukamatwa kwa J. Muro
1. je,haifanani sana na "tumkomeshe nae amezidi kutufuatilia?"
2. waliomkamata ni PCCB au walewale anao watoa magazetini (polisi)?
3. Afisa mfukuzwa kazi toka Bagamoyo aliombwa hiyo hela kwa ajili ya nini?
4. Lengo la awali na afisa mfukuzwa kazi toka bagamoyo la kuacha miwani kwenye gari ya J.muro lilikuwa ni nini?
5.Polisi hamjui ya kwamba mnachokoza vita sasa wadau tuanze kumwaga picha lukuki za mambo yenu yaleeeeee
6. Polisi hamjui ya kwamba mkimuua Katabaro atazaliwa Rutayasingwa?
Mod ziunganisheni, jamaa kaamka na kuanzisha sredi bila kupitia kilichomo kwenye maforums kwanza. Vipi Dogo Tundu, ndo unaingia ofisini?jamani mi naombeni mwenye hizi news anijuze nipate kuelewa, ni kweli Jerry Murro yule kijana shujaa wa kuripot habari za rushwa, maadili na utawala bora amekamatwa akiomba rushwa ya milion 10?
he deserve it..unakuwa na mdomo mdomo wakati masikini analo sasa..usiku wa habari ataenda kuutangazia segerea..
inafikirisha, inaleta na kuchochea uwezo wakufikiri.I'll tell you why I'm laughing (if you didn't notice); Muro anafikishwa kituoni anapigishwa mkwara na maneno kibao. Anapewa nafasi ya kujitetea. Anawaambia "mna wazimu".. wanashangaaa..
should I tell you how the story end?
Mwanakijiji mbona umekatisha hii movie? hebu malizia bana ah ilishaanza kunoga ati.I'll tell you why I'm laughing (if you didn't notice); Muro ameitwa kwenda mahali ambapo ameahidiwa kukatiwa kitu kidogo.. anatoa taarifa kwa vyombo husika (in this case, say TAKUKURU) na anaandaa watu wake wa kurekodi kitu hicho. Yule mtu mwingine anatoa taarifa kwa vyombo husika (lets assume ni Polisi); Polisi wanaandaa mtego wa kumtia matatani Muro, na mura anaandaa mtego kumtia matatani jamaa ili amrushe katika kipindi chake.
Well.. anaenda pale anakabidhiwa mzigo (polisi wanachekelea wamemnasa). Na mara moja wanaanza kujitamba kuwa jamaa anayepiga vita rushwa ndiyo huyo kakamatishwa. Habari zinaruka haraka haraka na wanamkimbiza Muro kituoni, sms zinaenea, na hadithi kolea.
Muro anafikishwa kituoni anapigishwa mkwara na maneno kibao. Anapewa nafasi ya kujitetea. Anawaambia "mna wazimu".. wanashangaaa..
should I tell you how the story end?
haya maswali ndo najiuliza hapa kwa umakini sana ....
hawa jamaa kama ni kweli wametega mtego kulipiza kisasi
I'll tell you why I'm laughing (if you didn't notice); Muro ameitwa kwenda mahali ambapo ameahidiwa kukatiwa kitu kidogo.. anatoa taarifa kwa vyombo husika (in this case, say TAKUKURU) na anaandaa watu wake wa kurekodi kitu hicho. Yule mtu mwingine anatoa taarifa kwa vyombo husika (lets assume ni Polisi); Polisi wanaandaa mtego wa kumtia matatani Muro, na mura anaandaa mtego kumtia matatani jamaa ili amrushe katika kipindi chake.
Well.. anaenda pale anakabidhiwa mzigo (polisi wanachekelea wamemnasa). Na mara moja wanaanza kujitamba kuwa jamaa anayepiga vita rushwa ndiyo huyo kakamatishwa. Habari zinaruka haraka haraka na wanamkimbiza Muro kituoni, sms zinaenea, na hadithi kolea.
Muro anafikishwa kituoni anapigishwa mkwara na maneno kibao. Anapewa nafasi ya kujitetea. Anawaambia "mna wazimu".. wanashangaaa..
should I tell you how the story end?