TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Temea mate chini, police watanzania wanabambikiza vijana wetu baghi kila siku mitaani sembuse bastola na pingu, weeh acha bana.

Kaulizie kule Moshi walimfanya nini Imrani KOMBE....ACHA KABISA
Najua kuhusu hilo lakini sikiliza maelezo kova aliyotoa hivyo vitu kakutwa navyo na kakiri ni vyake,sio kilakitu unangangania polisi kubambikia sikiliza tena kova anasema nini sio unakurupuka tu.na maelezo ya jamaa alieombwa rushwa nikwamba Jerry alimtisha na bastola na pingu.

Jerry mwandishi wa habari pingu na bastola vyanini, pingu haziuzwi popote bongo bastola sawa waweza sema ulinzi wake haya risiti hana na imekutwa loaded.
 
Hili Jambo ni nyeti sana, sasa naanza kupata picha kama huyu jamaa anamiliki pingu na bastola ambazo bila risiti (Sasa sijui kama pingu ndiyo haina risiti au bastola au vyote hapo Kova sijampata) huenda huyu jamaa... basi niachie hapo mwenye akili atajua nataka kuongea nini?, Maana hawa jamaa huwa hawajuani ati, sasa wakigongana na mlio ukatoka kwa nguvu watu wakausikia basi wanapiganapiagana hadharani kizushi then jiii!!!!!!!!. Hashtakiwi mtu hapo "Quote" my post
 
najua kuhusu hilo lakini sikiliza maelezo kova aliyotoa hivyo vitu kakutwa navyo na kakiri ni vyake,sio kilakitu unangangania polisi kubambikia sikiliza tena kova anasema nini sio unakurupuka tu.na maelezo ya jamaa alieombwa rushwa nikwamba jerry alimtisha na bastola na pingu,jerry mwandishi wa habari pingu na bastola vyanini,pingu haziuzwi popote bongo bastola sawa waweza sema ulinzi wake haya risiti hana na imekutwa loaded.
pole, kwani asemacho polisi ni mwisho wa utetezi, ama ni sahihi.

sakata la kombe tuliambiwa na IGP kuwa alihisiwa jambazi...mmh jambazi lililoiba gari, ati polisi hawamjui mkurugenzi wa usalama.

Zombe na wenzake walituambia waliwauwa majambazi kule sinza kwenye mapambano, wakati jaji anawasubiri wauaji...polisi...Polisi hawaaminiki hata chembe, wauaji sana. wasingiziaji sana.
 
hii imekaa vibaya, nona sasa jeshi la pilisi lipo tayari kurudisha kisasi kwa jamaa, na tusipo mpigania JM anaweza akapotezwa
 
Waandishi wa habari wanaopenda kupokea za mafisadi wachukulie hii kama fundisho
 
Inategemea hilo faili limeandikwa tuhuma gani na kivipi.

Kwani faili za namna hii zinapelekwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) au Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)? Naona kama mganganyiko unazidi kuogenzeka kadri mkananda unavyozidi kuchezwa! 😕
 
Kukosa risiti ya kununulia ni issue? au alikuwa anaimiliki kinyume na taratibu.....yaani, hana leseni ya kuimiliki?
kama hana risiti ya manunuzi, je aliitoa wapi? hiyo pingu anayomiliki yeye ni askari?
 
Jerry -

Kama upo jamvini au una mwakilishi wako hebu tupatie the "other side of the story"
-?
 
Hivi jamani......kweli inakujia akilini mtu amakutwa na bastola iko full hana risiti alafu akaachiwa kweli kwa dhamana ya kujizamini mwenyewe???? labda hizo stori wapelekwe watoto wa chekechea hata mtua asie enda darasani hatawaelewa?????
 
hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo

Amprentice!!!
 
kama hana risiti ya manunuzi, je aliitoa wapi? hiyo pingu anayomiliki yeye ni askari?

Kuna uwezekano alipewa na rafiki / ndugu yake kama zawadi, kitu cha muhimu ni kuwa na leseni sio risiti......! kwanza risiti inaweza potea anytime.....usajili unapoteaje? wewe vitu vyote unavyomiliki una risiti zake?
 
Hivi jamani......kweli inakujia akilini mtu amakutwa na bastola iko full hana risiti alafu akaachiwa kweli kwa dhamana ya kujizamini mwenyewe???? labda hizo stori wapelekwe watoto wa chekechea hata mtua asie enda darasani hatawaelewa?????
umefikiri kwa kina mkuu , respect kwako. kweli ukamatwe na bastola imejaa risasi na pingu....wakuache kwa dhamana , bila kulala ndani.
jamani ...hebu tufungue akili, na tufunguke akili.mbuzi huyu anataka kuuzwa ndani ya gunia.
ama kweli kua uyaone.
 
Back
Top Bottom