TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Hivi huwa ukikutwa na bastola unaulizwa risiti au wanatakaga kujua kama unaimiliki kihalali?? mbona mimi nazidi kuwa confused?????

Ukiwa unamiliki bastola huwa unatakiwa kutembea na copy za vibali kuthibitisha kuwa huyo sila ni yako kihalali mtu yeyeote anayetembea na bastola muda wote hivyo vitu huwa anakuwa navyo kwenye gari lake na hata wakati wa kununua hiyo bastola wanakwmbia kabisa toa copy halafu wanaithibitisha maana huwezi tembea na document orignal muda wote kuna kupoteza ama zikachaa
 
mimi namiliki bastola, kihalali....nyaraka hupaswi kutembea nazo , unless uwe unakwenda mbali na mkoa wako unaoishi.

swali ...POLICE wa TANZANIA wameanzalini kuwaachia majambazi wanaokamatwa wanamiliki silaha haramu, maana kwa tafsiri ya kamanda Muro ni jambazi ama muhalifu, mbona kapewa dhamana kabla ya upelelezi ? je kuna double standard ya implementation ya sheria hapa nnchini. tuendelee kufikiri
 
Kula nyuzi hapa:

i1583_12650252423.jpg

http://www.youtube.com/watch?v=cl2Ow-Goxvc&feature=player_embedded

http://www.youtube.com/watch?v=pbTK9XVL84o&feature=player_embedded

Kova kasema kumbe Jerry alikuwa anamiliki silaha bila hata kuwa na risiti ya kununulia....

Huyu jamaa sijui kama atatoka salama kweli...

Source: hapa

Mhhh..Hizi habari mbona zinachanga sana,hebu angalia hii

Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaal Afande Suleiman Kova leo ameongea na waandishi wa habari na kutoa taarifa juu ya sakata la mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la Utangazaji Tanzania (TBC) juu ya madai ya kupokea rushwa ya shilingi milioni 10 kutoka kwa bw. Maiko Calos aliyekuwa mhasibu wa Harmashauri ya Mji wa Bagamoyo kabla ya kutemeshwa mzigo na Waziri mkuu Mizengo pinda hivi karibuni.

Afande kova akizungumzaia sakata hilo amesema Bwana Maiko Calos alitoa taarifa polisi akidai kuna watu wanamsumbu sana na kumtisha wakidai awape shilingi milioni 10 kabla ya kuibua kashfa zake kwenye vyombo vya habari, hivyo Afande kova aliwaamuru vijana wake kufuatilia tukio hilo katika mgahawa wa City Garden jijini Dar es alaam na kuikuta gari ikiwa imeegeshwa , ilibidi Maiko awasiliane na huyo mtu ili waingie hapo hotelini hata hivyo mtu huyo alikataa hivyo wakamfuata kwenye gari na kukuta Ni jerry Murro mwandishi wa TBC.

Anasema walimchukua mpaka kituo cha polisi na kuchukua maelezo ya bwana Maiko ambaye alisema anamfahamu Jerry Murro kwani wamekuwa wakikutana katika maeneo kadhaa jijini, pia akadai kwamba kuna miwani yake aliisahau kwenye gari ya Jerry Murro na pia kuna pingu na Silaha yaani bastola ambvyo mtuhumiwa huyo alikuwa akitumia kumtishia ili atoe hizo fedha.

Hata hivyo afande Sulaiman Kova hakuthibitisha kwamba Jerry Murro amekamatwa na hizo shilingi milioni 10, lakini amesema kujipati fedha au kumdai fedha mtu yeyote kwa kumtishia ni kosa la jinai, hivyo kutokana na mazingira ya maelezo ya mlalamikaji na vielelezo vinatufanya kuamini kwamba tukio hilo lilikuwepo, ameongeza kuwa hawakuweza kuwashirikisha (PCCB) Kikosi cha kuzuia Rushwa katika mtego huo kwakuwa muda ulikuwa ni mdogo na mtuhumiwa angeweza kukimbia na kuwapotea

Kuhusu Bastola ambayo inamilikiwa na Jerry Murro Afande Kova amesema silaha hiyo imetengenezwa nchini Chec. Republic ni SZ 97 B NO A 6466 inayobeba risasi 10 anaimiliki kihalali kabisa, ina vibali vyote na alipewa kwa ajili ya kujilinda na maadui zake kutokana na kazi zake za habari za uchunguzi, Isipokuwa pingu ambazo hakuna raia ambaye anaruhusiwa kumiliki kisheria
Ameongeza kwamba Kesi hiyo wataipeleka kwa mwanasheria wa Serikali ili aone kama kuna kesi ya kujibu na kuipeleka mahakamani ili haki itendeke kwa kila upande na kama itakuwa vinginevyo watamuita bwana Maiko Calos ambaye ni mlalamikaji na kumwambia yaliyojiri kutoka kwa mwanasheria wa Serikal
i

Hii ni kwa mujibu wa John Bukuku wa hapa http://fullshangwe.blogspot.com/
 
Waandishi wa habari mliopo DSM kaeni chonjo na Kova, jamaa kwa kutengeneza kesi ndio mwenyewe na ni mpenda sifa ile mbaya. Waulizeni wenzenu wa Mbeya na mikoa mingine aliyofanya kazi watawaeleza, huyo jamaa ni hatari usimuamini 100pc.

Alikorofishana na waandishi mbeya baada ya kugundulika kuwa alikuwa akitoa siri zao za kihabari pale wanapokwenda kwake kuthibitisha habari zao zakiuchunguzi, hivyo zikihusu wafanyabiashara majambazi Kova aliwataarifu.

Walipotoa kwenye vyombo vya habari na kumwandikia IGP Mahita, Kova alipanga kuwatengenezea kesi ya kuomba rushwa ya shilingi milioni mbili kutoka kwa mfanyaiashara wa Kyela ambaye aliwahi weka vijana ndani akidai walimporo milioni 70 alizokuwa akisafirisha toka kyela kwenda tukuyu.

Njama za Kova zilifichuliwa na mfanyabiashara mwingine kwa kuwaeleza waandishi wa habari hatari inayowakabili nao bila kuchelewa walimweleza kufahamu njama zake hivyo mwisho wa siku ilibidi akae nao na kuwaomba radhi.

Kwa hiyo huyo Kova a.k.a bwana misifa ni hatari wanahabari kaeni naye chonjo anaweza kukufanyia chochote kile hasa kukiwa na harufu ya fedha.
 
Huyu jamaa nadhani kulikuwa na kakitu kidogo hapo

FP, few knows what is exactly happening as of yet .... lkn yasemekana kuna stori alikuwa anaifuatilia inayo-involve top ministers ku-evade tax through kampuni yao na wanapewa tenda za serikali ... kama ni kweli then panafuka moshi, btw mwenyewe aweza kutujuza zaidi. Nimenusa point hizi toka wanabidii:

Neatness said:
jamani hili nalo ni jipya.Lakini nitasikitika sana kama watamziba mdomo
Neatness said:
murro kwa kumsingizia .Na ninaamini jambo hili si la kipolisi.Kama kweli tunajali basi Polisi wakae kando wala Kova au nani asiliongelee bali Tusikie Takukuru wanasemaje.Kwani Polisi wenyewe hawaaminiki kabisa na wanaweza kabisa kupotosha ukweli.Kwa sababu hivi sasa wananchi wamekosa imani nao na ingekuwa busara kama wangejisafisha kwanza na ndipo waweze kusimamia mambo yanayohusu Rushwa.Jerry Murro naamini angejua kuwa amegusa mzinga wa asali na anatakiwa awe makini kwani si ajabu nyuki wakamshinda nguvu.

Akienda kichwa kichwa anaweza hata kufichwa au maisha yake kupotea kabisa.Japo kama watamziba Murro watatokea akina Murro mia moja na nchi hii inatakiwa kuokolewa na wapenda nchi ambao watakuwa kama akina Murro japo sio Murro mpokea rushwa hapana bado siamini kuwa amepokea ninasemea akina Murro wenye uchungu wakuona rasilimali za nchi hii zinatuzwa na kutumiwa na umma wa mtanzania.

Yona said:
Jeri muro mwenyewe anasema kwamba ni Kombani na kapuya ndio waliounda
Yona said:
jambo hili kwasababu wana miliki kampuni ambayo hailipi kodi kwa kipindi kirefu ambayo imekuwa ikipatiwa tenda kubwa na serikali mara kwa mara pamoja , Jery muro amekuwa akifuatilia ishu hiyo kwa siku za karibuni

Yona said:
Wiki 2 zilizopita anasema alitaka kupewa rushwa ya mil 150 ambayo ilikuwa imehifadhiwa kwenye buti ya gari , ilikuwa ni usiku wa kati ya saa 2 na 3 , akampigia Jamal Rwambo ambaye alimwomba awatafute Takukuru , lakini kwa wakati huo TAKUKURU walisema ni usiku vijana hawapo hakueleza zaidi ya kilichoendelea baada ya hapo , kwahiyo ukifuatilia inaonekana kuna mchezo mmoja unaoendelea yeye jerry muro ndio wakueleza zaidi . Ngojeni leo usiku - Mtasikia zaidi kwenye Habari

mmmh ...

MDBD
 
Wana JF walitabiri hali hii na wala siyo ajabu kutokea kwani wadaku wanasema suala la rushwa polisi/traffic haliishii kwa askari wadogo tu [siyo wote]. Inasemekana kuna mtandao mkubwa tu ambao umeota mizizi na hii siyo kwa traffic tu na ndiyo maana kuna aina ya kulindana. Kama mnakumbuka katika kesi ya zombe kuna askari mmoja ambaye alikuwa muhimu sana kwenye kesi ile lakini hadi leo eti hajulikani alipo.
Ukitaka uthibitisho wa mambo ya rushwa jeshini angalieni raslimali wanazo hodhi askari na maofisa wao huwezi kuamini Kuanzia madaladala,guest houses nyumba za kupangisha hata samani ndani ya nyumba zao haziendani kilio chao kuwa mshahara mdogo.
Ni afadhali Jerry muro limemkuta hili kwani angeweza kufikiriwa rejambazi vilevile na kukongoliwa.
 
Hii habari inachanganya hakika. Lazima kuna mchezo mchafu hapa.
 
hawa police nao Jerry akutwe na pingu kwani yeye ni police ..alinunua hizo pingu za kumfungia nani??
 
mamii in this country anything is possible!!! mi hii habari inanipa kizunguzungu, toka nimeisikia jana mpaka sasa hivi bado kuna vitu nashindwa kuunganisha, ngoja nitulie kwanza.....!!!!!!
 
inafikirisha.
 
Kwa hiyo
1. Hakupokea rushwa bali kulikuwa na mazingira ya rushwa- sasa waliharakia nini kumtia nguvuni bila kusubiri ushahidi?

2. Bastola ambayo mwanzo ilisemwa haikuwa na 'risit' (whatever that means- sasa inamilikiwa kihalali so hana kosa la kumiliki silaha bila kibali halali
3. Imebaki pingu amemiliki vipi pingu- Hivi yale makampuni binafsi yanayofanya ulinzi huwa hayana pingu eh? au
 
Back
Top Bottom