TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=cl2Ow-Goxvc[/ame]
haya sheshe ndo hilo,na jamaa kakutwa na pingu na bastola risiti hana,watu wengine unawaona kama watiifu kumbe ni majambazi na waporaji,sasa hii unaweza sema polisi walimbambikia lakini inaonekana jamaa nae kabugi mahali,naona polisi wameamua tu kumshtua kama anajisahau kama na yéye mchafu vilevile.
 
Naombeni msaada wa kuweka hilo sakata kwa maandishi tafadhali siwezi kudownload.
 
aliyeuziwa cheni feki, naye katoa hela ya bandia...polisi na Jerry ni ngoma drooo!
 
Mimi nimefanikiwa kuziona lakini zinamix kidogo mlolongo wake, actually jamaa wameshilia ishu ya pingu na jerry ameimbiwa apeleke risiti na polisi wanaruka kuwa haina connection na hilo
 
Kula nyuzi hapa:

i1583_12650252423.jpg

Kova kasema kumbe Jerry alikuwa anamiliki silaha bila hata kuwa na risiti ya kununulia....

Huyu jamaa sijui kama atatoka salama kweli...

Source: hapa

Kukosa risiti ya kununulia ni issue? au alikuwa anaimiliki kinyume na taratibu.....yaani, hana leseni ya kuimiliki?
 
haya sheshe ndo hilo,na jamaa kakutwa na pingu na bastola risiti hana,watu wengine unawaona kama watiifu kumbe ni majambazi na waporaji,sasa hii unaweza sema polisi walimbambikia lakini inaonekana jamaa nae kabugi mahali,naona polisi wameamua tu kumshtua kama anajisahau kama na yéye mchafu vilevile.
Temea mate chini, police watanzania wanabambikiza vijana wetu baghi kila siku mitaani sembuse bastola na pingu, weeh acha bana.

Kaulizie kule Moshi walimfanya nini Imrani KOMBE....ACHA KABISA
 
NO COMMENT! Unapoingia katika vita dhidi ya ufisadi, inatakiwa ujichunge sana ili wabaya wako wasichukue point. Nadhani jamaa alifikiri TZ ni nchi ya walokole.
 
NO COMMENT! Unapoingia katika vita dhidi ya ufisadi, inatakiwa ujichunge sana ili wabaya wako wasichukue point. Nadhani jamaa alifikiri TZ ni nchi ya walokole.
 
Kukosa risiti ya kununulia ni issue? au alikuwa anaimiliki kinyume na taratibu.....yaani, hana leseni ya kuimiliki?
Yaani we acha tu ndo polisi wanvyohoji ivyo!! badala ya kuuliza una lesseni ya kumiliki unaulizwa risit!! kazi kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom