nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
umefikiri kwa kina mkuu , respect kwako. kweli ukamatwe na bastola imejaa risasi na pingu....wakuache kwa dhamana , bila kulala ndani.Hivi jamani......kweli inakujia akilini mtu amakutwa na bastola iko full hana risiti alafu akaachiwa kweli kwa dhamana ya kujizamini mwenyewe???? labda hizo stori wapelekwe watoto wa chekechea hata mtua asie enda darasani hatawaelewa?????
jamani ...hebu tufungue akili, na tufunguke akili.mbuzi huyu anataka kuuzwa ndani ya gunia.
ama kweli kua uyaone.