Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Kifasihi wamechemkaTokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
Kifasihi wamechemkaTokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
Aisee hongereni SANA mnaoweza kuangalia hii channel.Tunatekeleza bado kipo, sasa hivi kimehamia kwa mama
Amini hadi Leo anatajwa kama nduli id amini ...!Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
wapiga matarumbeta nao wamemgeuka...patamu hapa !!Na mimi nilisikiliza hiyo Tafakuri baada ya habari jana, na niliwaza sana kwamba hapa wanamsema Magu
Liko sawa kabisaTumepata jina jingine la kumuita yule mtu.
Hamnazo
Wadau, si jina limekaa poa? Au nyie mwaonaje.
hamnazo = mwendazakeLiko sawa kabisa
Mimi naunga mkono hoja
imekuwa straight saana !!Kifasihi wamechemka
Ooh okay... So hamnazo ni Nani according to tbc?Tulifulia kidogo Dstv yetu haikuwa na kifurushi, pia imekuwa afadhali mana tungejuaje hata TBC wamemuita jamaa flani kuwa ni hamnazo.