Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,906
- 103,999
- Thread starter
- #201
Itabidi ng'ombe watembee kurudi nyuma ili 'kazi iendelee'Bwana hamnazo!🐒🐒🐒
View attachment 1819363
Itabidi ng'ombe watembee kurudi nyuma ili 'kazi iendelee'Bwana hamnazo!🐒🐒🐒
View attachment 1819363
kati ni jina langu. Nimewaruhusu litumieni wakija waambieni wanione.. Natamka rasmi kuwa Uzi na uendeleeMkuu hili jina la mwendazake viongozi wa dini wamelikataa, utachukuliwa hatua. Ni matusi!![]()
Sasa hivi chini ya Jumong Ng'ombe wanatembea kwa kurudi nyuma pia.Imagine hapo nyuma serikali ilishatangaza kuwa itatoa mamilion ya ajira kwa vijana halafu leo ghafla huko bungeni Serikali imetangaza kuwa hakuna ajira kwa vijana kwa hiyo vijana watafute namna!🐒🐒🐒Itabidi ng'ombe watembee kurudi nyuma ili 'kazi iendelee'
Nasikia kuna benki inaanzishwa ya vijana, em tusubiri labla kuna kijana kutoka mtaani anakwenda kuwa CEO wa hy benkiSasa hivi chini ya Jumong Ng'ombe wanatembea kwa kurudi nyuma pia.Imagine hapo nyuma serikali ilishatangaza kuwa itatoa mamilion ya ajira kwa vijana halafu leo ghafla huko bungeni Serikali imetangaza kuwa hakuna ajira kwa vijana kwa hiyo vijana watafute namna!🐒🐒🐒View attachment 1819369
Huku kufunguka kwa uwazi unakokuita 'kashfa' kunasaidia kuwapa watu ahueni(relief) ya machungu yaliyotokana na madhila yalisababishwa na utawala wa kikatili wa HAMNAZO.Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
Huwezi kuganga yajajo bila kujua yaliyopita. Huu ujinga wa kusema tugange yajayo ndiyo umefanya waafrika wazidi kudidimia. Ni lazima tuzungumze, tukosoe, tushangae na kusahihisha yaliyopita ili yasijirudie tena. Hivi nyie mnaona msimamo wa Magufuli kwenye korona ulikuwa kitu cha kawaida? Yule jamaa alikuwa na mental case!!!Jamani tugange yajayo ,he was our leader despite his mess ila ameshalala ,tugange yajayo kwa kujifunza mazuri na mabaya yake but haina maana tena kukashifiana
Jamani hivi kungetokea muujiza leo afufuke na kurudishwa kwenye kiti cha urais halafu atumie kama mwezi mmoja kuangalia, kusikiliza na kusimuliwa yote amabyo yamesemwa juu yake nadhani atakufa tena kwa mshtuko. Mama Samia ajihadhari sana sana na watu wanaomsifia. Ni wabaya sana. Bora aungane na wale wanaomkosoa.Ndio wamefikia huko???
Tafakuri naona kilikua ni kipindi maalumu kwa ajili ya bwana Hamnazo.
Mtangazaji alikua anaanza story mbaaali mara wakoloni hivi wakoloni wakafanya vile....mara anakuja kuibukia kwa Jpm jembe shujaa bla bla leo imefikia huku.
Tena waafrika tunatishianaga kuwa waliokufa ukiwasema wanakurudia kukukaba kama mizimu😂😂Huwezi kuganga yajajo bila kujua yaliyopita. Huu ujinga wa kusema tugange yajayo ndiyo umefanya waafrika wazidi kudidimia. Ni lazima tuzungumze, tukosoe, tushangae na kusahihisha yaliyopita ili yasijirudie tena. Hivi nyie mnaona msimamo wa Magufuli kwenye korona ulikuwa kitu cha kawaida? Yule jamaa alikuwa na mental case!!!
Hivyo vipindi siku izi hakuna boss?TBC wameachana na zile swagga za kishindo cha awamu na tunatekeleza??
Maisha yanaenda kasi SANA.
Everyday is Saturday............................... 😎
Tuna safari ndefu sanaa ya kutawaliwa na wazungu na kuzidi kuwa maskini sababu ya unafikiUnafiki ni ugonjwa mbaya sana.
Alikufa kwa kulia siyo kwa kuchomwa na mbigiri.😂😂😂😂Tokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
Jamaa ' Keshaula ' Mkuu kwani nasikia kuwa ndiyo Official MC wa Shughuli zote za Mama ( Mheshimiwa Rais ) Samia Suluhu Hassan akichukua nafasi ya Yule Mzee wa aliyekuwa wa Mwendazake ( Hayati ) kutokea Mkoani Dodoma.
Mbona unawaita kwa sauti ya chini? Waite kwa sauti kubwa wakusikie...
Wafuasi wa Hamnazo johnthebaptist, Pascal Mayalla, Etwege aka Elitwege, mama D na Magonjwa Mtambuka, je mpo?