Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,912
- 104,032
- Thread starter
- #241
Unataka nitoe majibu gani wakati huyo mhusika hamnazo hajasemwa hadharani.?Sasa unatuuliza sisi, si ungeanza wewe kutupa jibu, nyie ndio mama kawaambia kule Mwanza kuwa mnatumia mitandao vibaya, mnapenda kuuliza au kukosoa tu bila kuja na majibu ya hayo mnayoyasema.