Ukisoma vizuri ile barua inamlenga mwendazake kabisa ila hakuna mahali imemtajaKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
Jamaa ' Keshaula ' Mkuu kwani nasikia kuwa ndiyo Official MC wa Shughuli zote za Mama ( Mheshimiwa Rais ) Samia Suluhu Hassan akichukua nafasi ya Yule Mzee wa aliyekuwa wa Mwendazake ( Hayati ) kutokea Mkoani Dodoma.
Sasa JPM na hawa wa sasa wepi wanatumia nguvu kubwa.Labda wametumia neno mbigiri kuonyesha kitu kidogo kilichopaswa kufanyiwa kazi bila kutumia nguvu kubwa
.Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
lakini labda wamemkusudia nkurunzinza..Sielewi imekuwaje mpaka imeruhusiwa kurushwa hewani, mkurugenzi wa TBC nae hafai
Mama atende haki tu inatosha.Tunapoelekea cjui itakuaje kwa upande wa mama
Mkuu hili jina la mwendazake viongozi wa dini wamelikataa, utachukuliwa hatua. Ni matusi!Siangalii tbc miaka mingi sasa,ila Hamnazo kwa mujibu wa summary yako ni Mwendazake

Mbona jibu rahisi Tu, kama Hamnazo alishindwa kudhibiti mbigiri kabla hazijaingia shambani na akaamini kuwa anaweza kuzikanyaga na Maisha yakaendelea, tofauti na matarajio zikamchoma yeye mwenyewe na kusababisha kifo chake, basi TBC wametusaidia kujua kwamba haikuwa umeme WA moyo.Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
😂😂😂 Kwahy kiburi kimekuja bila kubisha hodi.? Yan kimekuja automatically 😁😁Mkuu kwa hili la Kiburi chake Shabaan Kisu kwakuwa yuko na Rais hata ingekuwa ni Mimi GENTAMYCINE au Wewe ( Ezekiel Mbaga ) tungekuwa na hiyo nafasi tungekuwa nacho pengine kuliko Yeye.
Inawezekana akawa ni huyu huyu Shaban kisu mana yeye ndie MC wa msafara wa raisJana sijui ni kwa bahati mbaya au kwa makusudi wakati watangazaji wanaongea wakimsubiri mama afike kuzindua tank la maji, mtangazaji mmoja wa kiume alitumia hili neno "mwendazake" wakati anaelezea miradi ya JPM
Kwa wanaoangalia tbc hata kwa bahati mbaya watakubaliana na mm kuwa tbc wanakula mshahara wa bure na unafiki juuKama Mtangazaji wa TBC ametunga hadith ya kipuuzi hivi basi kuna shida kubwa. Yaani mtu anachomwa na mbigili matakoni hadi anakufa? Mbigili za wapi hizo? Akasimulie watoto wenzie.