Tbc wana ujinga mwingi, mama akisema kuwe na lockdown lazima wampigie debe kuwa yuko sahihi tofauti na MwendazakeKwel mtu ukifa Huna thaman kweli tbc ndio ya kumnanga jitu mwitu msitu
Rest in peace diktekta
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Labda wametumia neno mbigiri kuonyesha kitu kidogo kilichopaswa kufanyiwa kazi bila kutumia nguvu kubwa
Hamnazo ni TBC yenyewe iliyokuwa ikishabikia kutokuvaa barakoa pamoja na baadhi ya watumishi wake kufa kwa coronaKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
Ahh nilikuwa nmemsahau mtangazaji jina lake japokuwa namjua ni yeye, em ngoja ni-update mada ili ajulikane kabisaIla kifo Ni kibaya mno acha kiogopwe tu kwa kweli! Yaan Leo hii tbc ndio wa kuufanyia hivi bwana yule!
Kweli Shaban kisu kipindi Cha tafakuri umekiweza
TBC wenyewe ndiyo hamnazo, ulishaona wapi mtu kafa kwa kuchomwa mbigili tu ?Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
Inasikitisha sanaTokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
The late Jiwe AKA Hamnazo.Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
MwendazakeKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.

Tokea lini mbigiri zikaua, yaani wameshindwa kabisa kutafuta mfano hai ambao ungeendana na uhalisia wa hatari ya Covid-19
Hamnazo ni jiweKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.