TB Joshua kiboko!

kweli wajinga ndio waliwao, mjinga wa kwanza ni yule aliyeamini hii photoshop ambayo obviously ni ya mashabiki wa manU

Na video niliyoiweka umeiona?

Wajinga ndio waliwao!
 

Mie nimekuomba unitajie majina ya hao ma genius wenu. Siyo jina.

Au hukuelewa?
 
Inaonaekana huyu jamaa ameshafanya utafiti kagundua eneo letu la africa ya mashariki na kati ana
akubalika na wengi ndio maana amecapitalize utabiri wake maeneo haya.
Nchi yake watu wanauawa kirahisi sana, watoto wa shangazi, baba, mama na wajomba zake wakoporini tena wamesilimishwa ktk imani isiyo yake, kashindwa hata kutabiri bomu la sokoni juzi watu zaidi ya mia 120 wamepoteza maisha.

Bibilia inasema "mtu asiyewajali wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko hata asiyeamini"

Nawaomba watanzania wenzangu tuwe makini na watu wa aina hii. Waziri mkuu cameroon ameshawaonya wananchi wake na huyu jamaa, Tujifunze kuimarisha uhusiano wetu na Mungu personally,Tuache ufuasi wa vitu tusivyovielewa. Inahitaji logic ya shule ya msingi kugundua huyu jamaa ni tapeli mwenye lugha tamu na yenye hila aliyoizungushia neno la Mungu.
 

mambo haya yanahitaji hekima ya Mungu kuyatambua na kuyajadili vinginevyo tutakufuru bure kwa kukashifu watumishi wa kweli kwa kukosa maarifa na kubugizwa ufahamu wa jumlajumla. Namuomba Mungu sana atupe hekima na uwezo wa kuyaona haya kwa moyo wa ndani.
 

MUHAMMAD(SAW) AKIRI KUWA YEYE NI MTUME BANDIA
1. Asema yeye hajui nini atafanywa baada ya kifo.
2. Asema yeye hajui nyie mnae mfuta nini mtafanywa baada ya kifo.
3. Aukana utume wake.
Surat Al Ah'qaaf 9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
Jamani leo tumepata ushaidi kutoka Muhammad kuwa Yeye sisi chochote na Uislam sio mali kitu.
Poleni sana wafuasi wa mtume kiroja kama alivyo dai mwenyewe.
 




Wajinga ndio waliwao

SHETANI ATEREMSHA AYA ZAKE KWENYE KURUANI NA KUKIRI KUWA ALLAH NDIE MOLA WAKE MLEZI
1. Shetani akiri kuwa Allah ni Mola wake Mlezi.
2. Asema Allah ndie aliye mfundisha kutenda dhambi.
3. Asema na yeye atafanya maovu aliyofundishwa na Allah kwa Binadamu
4. Tabia za Shetani na Allah zafanana
Surah Al Hijr 39. Shetani akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
[Sûrah al-A`râf: 16-17], [Sûrah al-Isrâ’: 62] ,
Kumbe Shetani na yeye aliteremsha aya zake kwenye Koran.
 
HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO
Muhammad(SAW) alikiri kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kufanya Miujuza
Ndugu zanguni, leo ningependa tusome kidogo kuhusu huyu Muhammad aliye dai kuwa yeye katumwa na Mungu. Hebu soma kwanza:
17. SURA AL ISRAAI (BANI ISRAIL)
90. Na walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii.
91. Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika.
92. Au utuangushie mbingu vipande vipande kama ulivyo dai; au utuletee Mwenyezi Mungu na Malaika uso kwa uso.
93. Au uwe na nyumba ya dhahabu, au upae mbinguni. Wala hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. Sema: Subhana Rabbi, Ametakasika Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na Mtume?
(Qur-Sura 17:90-93)
Baada ya kuombwa afanye angalau muujiza mmoja tu, Muhammad alishindwa vibaya sana na kuto fanya hata muujiza mmoja.
Swali:
1. Kwanini Muhammad alishindwa kufanya miujiza kama alivyo ombwa afanye?
2. Muhammad ni Nabii peke yake alieshindwa kufanya Miujiza tokea dunia iumbwe, Je, anaa kufuatwa na kuaminiwa?
3. Kwanini Allah nay eye hakumsaidia Nabii wake kufanya muujiza?
HAKIKA MUHAMMAD ALIKUWA NABII WA UONGO
 
Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 

 

AMAZING HISTORICAL FACTS
-1. Both Kamuzu Banda and Dr.
Kenneth Kaunda of Zambia were
longest serving presidents and
their roots are somehow not fairly
traced from Malawi and Zambia,
respectively. Both Kamuzu and Kaunda having a common slogan of
"Wamuyaya" (Life) had something
to carry in their hands as symbol of
authority. 2. President Bakili Muluzi,born in
1943, took over from Kamuzu
Banda. Fredrick Chiluba, born in
1943, took over from Kenneth Emily Mwasinga Kaunda and both Muluzi and Chiluba went on to seek a 3rd
term of office but failed after
extreme opposition to both bids.
Both Bakili and Chiluba divorced
their wives on alleged account of
infidelity. 3. Bakili Muluzi brought in Bingu wa
Mutharika, while Fredrick Chiluwa
brought in Levy Mwanawasa and
they both campaigned for them. 4. Both Mutharika and Mwanawasa
won those elections. 5. Shortly after being elected as
Presidents, both Mutharika and
Mwanawasa fell out favour with
Muluzi and Chiluwa respectively.
They both took their predecessors
to court over corruption. ___Now it gets interesting; Muluzi
was prosecuted by Mutharika
administration. Chiluba was also prosecuted by Mwanawasa
administration. Bingu Wa Mutharikha won a 2nd
Term of office; Mwanawasa won a
2nd Term of office. Mutharika chose Joyce Banda as
Vice President. Mwanawasa chose
Rupiah Banda as Vice President. Mutharika died in his 2nd term of
office due to Cardiac Arrest.
Mwanawasa died in his 2nd term of
office due to Cardiac Arrest - (both
deaths were predicted by Prophet
T.B Joshua). 6. Dr. Joyce Banda took over from
Bingu wa Mutharika due to death of
incumbent. Rupiah Banda took over
from Levy Mwanawasa due to
death of incumbent.
The people who took over from the dead Presidents in both countries
are named "Banda"! 7. After 3yrs, President Banda in
Zambia lost to veteran opposition
leader Michael Sata. Dr. Joyce Banda
faces election-on 20th May 2014. Are these facts just a mere
coincidences? This simply shows
that Malawi and Zambia exists on
the same prophetic pathway. Both
Malawi and Zambia got their
independence in 1964 and both use Kwacha for their currency
 
Na video niliyoiweka umeiona?

Wajinga ndio waliwao!
Huu mbona ni utoto wa mjini wa kawaida tu!!Hakuna watu wepesi kuibia au kutapeli kama walokole wasio na macho ya rohoni.Huko nchini kwake majirani zake wanamfahamu huyu jamaa alivyo mtoto wa mjini wakikuona unaingia kwake wanakushangaa!!!Sikatai kuna watumishi wa kweli lkn huyu mmmmmh!!
 

 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…