Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
Amesema ni southern countries
Yaani kusini mwa Kenya ama?
Amesema ni southern countries
TB JOSHUA Aliwahi kutabiri nini hasa kikatokea? Mara Ngapi??
Naomba mtu anisaidie japo evidences chache tu ili nianzie hapo.....
I'm serious!
Mnachanganya Mambo. Kama kasema South Africa County ... mbona ni tofauti sana na kusema nchi inayopakana na Kenya.
Hasa mleta mada aje aseme .. ametoa wapi neno Kenya?
MBONA WANATABILIGI MABAYA TU? MAZURI HAWASEMI...KILA KUKICHA: KUNA AJALI....UTAKUFA...KUNA WATU WANAPANGA KUKUTEKA...BLAH BLAH BLAH..Wantumia vitisho ili uwape hela (sadaka) wakuombee wakisema ati ndo pona yako!! what a way of making a living!!!

Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Na mbona wanapokuwa wakisema hizo tabiri zao hawasemi na cure? zaidi sana wanasema tuzidi kuomba. I mean they always let you in doubts, they're never specific about a solution. This makes me question their validity

Hana lolote ni tapeli kupitia imani. Ana intelligence yake au kubahatisha. Mara nyingi utabiri wake haitokei.
Kama umeweza kufungua JF, basi fungua pia website yake utaona huko shuhuda za tabiri zake...