Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 17,979
- 12,130
- Thread starter
- #261
Unaposema wanaharakati walioguswa na madhila yaliyomkuta Lissu .je unamaanisha ninyi CHADEMA hamjaguswa kuweza kumchangia ili apate gari mpya kabisa?"Maccm ni majitu ya ovyo ovyo na yenye roho za kishetani". Kwa taarifa yako walioitisha mchango siyo Chadema bali ni wanaharakati walioguswa na madhila aliyopitia Tundu Lissu. Chama kingeitisha mchango huo na kuratibiwa na ngazi zote za uongozi hiyo hela ingepatikana hata kwa siku moja tu. Punguza chuki kwa Chadema haitakuongezea shibe wala wingi wa siku za kuishi hapa duniani. Nayasoma sana maandiko yako yaliyojaa chuki,kebehi na dharau nyingi kwa Chadema na wanachama wake.